Hivi hii kitaalam ipo vipi? Unapiga deki mbususu kwa ulimi halafu wakati wa ku sex unavaa condom!!!

Hakuna chances za kupata unachokikimbia mpaka ukavaa condom? Au watu wanavaa condom kuzuia kuwatungisha mimba?
Nitajaribu kumuuliza Dokta kuhusu hili, ila Nina uhakika hakuna case ya mtu kupata maambukizi ya Virusi vya Ukimwi Kwa kuzama chumvini, kama hiyo study ipo nitashukuru iwapo itawekwa humu.
 
Mapenzi uchizi tena ushenzi, kuna wakati ukimaliza kukojoa unawqza hapa ningefumwa au kitokee cha kutokea itakuwa vipi.

2015 Mkoa mmoja kusini mwa nchi.

Ilikua ni asubuhi iliyoanza na makasiriko, wingu likiwa limenuna haswaa. Nimechelewa kazini, na kulikua na ugeni. Nlikua sina muda mrefu toka niripoti hapa, kwa kazi hii ya muda.

Washa gari ingia barabarani, km 2 kabla ya kufika kazini hua kuna askari wa usalama barabarani. Mara zote sijawahi simamishwa, ila siku hii mmoja akasimama akipunga mkono nisimame. Kwa ile haraka nliyokuwa nayo hata sikusimama, nami nikampungia mkono.

Uzuri nmeingia ofisini kabla ya wageni, na dakika chache baadae wageni wakawa wamefika. Tukafanya yalowaleta, walivomaliza wakoka ilikua mida ya saa 5 hivi. Nami nkatoka niweze kurudi nyumbani nlikofikia.

Nlipofika eneo lile la wale askari sikusubiri kusimamishwa, nkasogeza gari pembeni nkai-park. Wale askari wamekaa kwenye viti hawana muda na mimi. Wale wa kiume wakipanga waondoke na pikipiki abaki yule wa kike asubiri usafiri wahame pale walipo.

Wakati nnawasogelea yule askari wa kike alikua kanuna, nahisi aliikumbuka gari. Nkawasalimia, nkiwa natabasamu na kuonesha mie ni wenu leo na ni dhaifu mno. Yule bibie akawa anafoka foka huku akinisogelea, lakini nikaendelea kuwa mpole. Wale wa kiume wakaaga wanaondoka, akasema anawafuata.

Walivotoka tukabaki wawili pale na akawa kaanza kupoa. Nkamwambia naomba nikupeleke walikoenda wenzio, na mtoto kama wewe hasira hazikupendezi. Akacheka akasema ana kaagiza chakula tukisubiri ndo nimpeleke. Nkamkaribisha kwenye gari.

Alipoingia akaguna,"mmhm kumbe ndani nzuri?" Nkamwambia mwonekano wa nje utamdanganya vingi. Tukawa tunaongea kama tulojuana kitambo. Kikaletwa chakula tukala wote, muda huu ndo yule msaidizi wa shetani akatumwa rasmi. Kwa makusudi nkamdonoshea chakula kwenye nguo yake, akajaribu kufuta haitoki. Akawapigia wenzake anaenda kubadili. Ikabidi nimpeleke kwake.

Kufika kwake sikuishia nje, nmeingia ndani nkawa naangalia picha za ukutani. Akamaliza akaomba tuondoke, nikamjibu sijamaliza bado. Aliponisogelea, nkamkumbatia na kumwambia hizi sare zimekupendeza mno.

Kilichofata ni kusahau nyumbani kwake tulifata nini, likapigwa kwata na mchakamchaka. Afande akashika mlango, suruali ikashushwa, mguu ukaekwa juu ya kistuli. Zikaanza takoo za kusukumia ukuni ndani, mpaka tulipofika. Alikua na sura ya baba ila sauti na papa mtamu. Nkampeleka kwa wenzake, na ikawa mwisho wa kusimamishwa kituo kile.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu tuna laana sana!
 
Wewe ni maji pia tena huna akili nzuri hujitambui unatakaje ingekuwa mimi unipige hivyoo nakupasua hadi unakuwa unanilamba miguu shenzi wewe.
Tena unamzaba mtu weeee kisa huyo malaya uliyemdhaminisha tu .
Eti unachofuata njee ni hulka tu ya kiume shenzi type.
Hujakutana na kitu ya Arusha tungekufunza adabu tungekuwekea hadi matairi tukuite mwizi na hicho kigari chako tungekilipua kama bomu mwenyewe huna nguvu za kiume ndio maana hutulii kwako .
Mshenzi wewe kazi unaipeleka kila mahali kuangalia kama engine inawaka wewe ni gari bovu tulia nyumbani "NYUNDO BUTU WEWE" haigongi hata kamsumari kadogo shuwain
 
Sema hawa ma poti wengi wameungua
 
Wewe cheza tu na mchepuko! Utapigwa limbwata la uhakika uhangaike Nalo!! Imeandikwa wanawake tuishi nao kwa kutumia akili.
 
Pole pole mkuu,
Mbona jazba hivyo mwenzangu [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…