Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Kuna she mmoja alikuwa chuoni, yule she alikuwa anasoma BAED , akawa na mchumba wake somewhere, sasa kumchombeza anasema mm Nina mtu wangu, sasa what to do, wee uwe mvumilivu tunakulana kimya kimya, nikasema it's ok, one day mchumba akampigia simu tukiwa bed tunapush ajenda, she alikuwa kwenye speed ile balaa, simu ilipoita akaniomba aipokee, nikasema it's ok, pokea, akapkoea, mchezo ukasimama, mshikaj akauliza mbona unahema hivyo, shida nn?

She akasema anabeba ndo kichwani anaipandisha gorofa ya tatu (chumbani kwake) nadhani Wana UDOM mnajua maji kule juu hayapandi, kwa hiyo inakubid usombe na ndoo taratibu kujaza diaba zako, jamaa akaamini, baada hapo ligi inakendelea
 
Chai,mara alivaa gauni jepesi,mara akavua sketi,
Hadi kufikia umri huu, nimeshindwa kutofautisha Gauni na Sketi, kama hautajali naomba unisaidie kuweza kutofautisha.

Ila jambo lingine muhimu usiogope status ya Mwanamke, kama umemuelewa fanya kumueleza. Ukiweza hapo hautakuja na manung'uniko humu Kwa kuhisi Chai.
 
Utakuwa ulikula Clinical officer ila sio MD, kwa jinsi niwajuavyo hawa watu kukuxshobokea mpaka kutoa mzigo labda uwe na cheo kikubwa serikalini au ni mfanyabiashara una pesa za maana pia muonekano wako uwe wa kipedeshee, tofauti na hapo hii ni chai.
Unadhani MD hana uhitaji chief?
Angekuja kukaa wiki nzima niendelee kukata kiu yake?

Ila muhimu uwe financially strong, akilia mshahara umeisha iwe rahisi kumtumia vi laki 2 kusogeza siku wakati anasubiri mshahara wake 😀💪
 
Back
Top Bottom