priscilla njoo humu, ukawasalimu
Unaye mwita huyo stori yake yaonesha beki hazikabi anamsingizia mwal. ndo kampa gonjwa.

we angalia na hali yake ya ugonjwa ila bado anawapa wana (tena sio 1, 2-3 ivi) asa akati mzima si alikuwa anateleza tu.

kama ingekuwa ilo gonjwa linapatikana kizembe ivo, wote tungekuwa nalo.
 
Vikwazo ulivyomwekea ni kama Marekani na nchi za kiafrika😂😂😂
 
Eeh jamani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wewe ni'wa kutazamwa moja kwa moja usoni na kuangaliwa ndani ya mboni za macho yako,bila kupepesa wala tashwishwi!!!Ukaripiwe wacha mara moja kubagaza jukwaa,wacha mara moja kubagaza members na comments zao katika jukwaa lile!!!Wahenga walisema "mwenda tezi na omo harejei ngamani"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…