Mwaka 2016 nilienda sumbawanga kikazi, of course ilikua ni mara yangu ya kwanza kufika huko.
Siku nimefika nikapokelewa na mwenyeji wangu ( mkuu wangu wa kazi) pia nikaoneshwa nyumba ya kukaa, kosa kubwa alilolifanya mkuu wangu ni alinikabidhi kwa secretary ambae nae alikua anaishi kota, ni binti flani hivi wa kichaga ila mwenye tako.
Bosi akamuambia yule binti naomba utamsaidia huyu mtu kwa hizi siku mbili akiwa anasubiri pesa yake ya kujikimu iingie, yule binti akasema haina shida.
Basi jioni ya siku ile yule binti akanitembeza tembeza pale Town kama kupoteza muda tu, then mida ya saa mbili tukaenda hotelini tukala alafu tukarudi kota.
Kesho yake asubuhi kama saa 12 hivi nikashtuka msg inaingia, kucheki namba ya yule binti ananiambia chai tayari, nikamwambia ok nakuja, nikaenda kuoga fasta then nikaenda kwake tukanywa pamoja alafu tukaelekea kazini. Baada ya kama siku mbili hivi ilikua jumamosi kulikua na mechi Manchester United Vs West ham, nakumbuka ile game Manchester tulifungwa, so nikawahi sana kwenda kulala ( kama mjuavyo maumivu ya kufungwa) ilikua kwenye saa mbili mbili usiku yule manka akanitumia msg njoo ule chakula tayari, nikamjibu sijisikii kula, naomba endelea tu, yule manka akahisi kitu kwamba siko poa, basi akakomaa kinoma nimuambie shida nini, of course sikutaka kumuambia kwa kuonekana dhaifu kwamba unaumia kiasi hicho sababu ya mpira.
Ile tunaendelea kuchati mara nikakuta mlango unagongwa, kucheki ni manka, kaona bora aje face to face ajue mgeni nina shida gani Loool

, Palepale mawazo ya mpira yakaisha nikaanza kuwaza namna ya kumvua chupi, alipoingia nikajifanya kama nina stress kinoma, si akasogea nilipokuwepo eti anani comfort, sikumbuki ilikua kuaje lakini tukaja kushtuka ni saa nane usiku tupo naked kwa bedroom, na alikokua anakaa yeye mlango kaacha wazi, ilibidi nimsindikize kafunge then tuendelee pale tulipokua tumeishia.