Hakuna jamaa muongo kama huyo mnaemshauri aoe.
Mi sishangai maana ktk hii dunia kila kitu kinaweza tokea haswaa kwenye mapenzi!!!!na wapemba wana lugha flaani hivi taamu balaa na wanaume wao wanajua sana mapenzi(sijawahi kudate nao maana mi watu weupe sina mzuka nao sana but nishawahi ishi nao,naskiaga watu wanasema )na ni wahuuni balaa...
 
Eehh!!oaneni tu sisi tumeruhusiwa wawili,watatu wanne,mradi tu uwe muadilifu kwao!!kukataa mathna kwa Muslim woman ni kumpinga Mungu [emoji5][emoji4][emoji4][emoji6]
Kumbe rey ni swala tano, huwezi amini sikujua...basi naruhusiwa kukufanya mke wa pili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Γ’
 
Kumbe rey ni swala tano, huwezi amini sikujua...basi naruhusiwa kukufanya mke wa pili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji1][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]kaka...loohh!umechelewa kidooogo kuna mjanja mmoja kakuovateki!!![emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]
 
Na wewe sasa tupia ule mkasa wako mdogo wangu!
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwangu hakuna kimasihara zote planned matches!!!!halafu sasa kaka huyo Dada alikukula wewe kimasihara ujue
 
Hata ukioa mtu wa nyumban asiwe na tabia ya kwenda kwao saana lzma watamla tuu

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hata kama, story za jamaa ni za kusadikika tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…