[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my T702 using JamiiForums mobile app
 
OP gani iyooπŸ˜‚
 
Nakubali mkuu[emoji16]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mm ndio maana nliondoa sofa la mtu mmoja gheto

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kimasihara ni mbili zikizidi hapo ni chai na hatuzisomi
Wewe itakua ni mtu unayependa kujitenga kama mimi ( Introvert )

Masihara unakutana nazo ukiwa mtu wa kujichanganya, mimi nna 35+ lakini sijawahi kuambulia masihara hata moja

Maana nikitoka kazini nikiingia ndani sitoki mpaka niwe na shida ya kwenda dukani
 
Sasa watu wa ivi ndo znatuangukia zaid mkuu nakwambia

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Raha jipe mwenyewe mkuu.as long as you can handle the bill nothing to worry.
 
Huu uandishi kidogo niseme ni lugumya in new ID
 
Nimemfikisha Demu wangu kwenye kituo cha bus hapa anasafiri na amepakia basi.....

Lakini kutokana na visa nlivyosoma huku na uzoefu wa Malejendari wa huku naona kabisa Demu wangu anaweza akaliwa kimasihara....
[emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe siko mwenyewe afadhali
 
Siku sio nyingi unaingia kwenye list ya akina intergrity,maana wao ndio wataanza kuingia motoni wakiongozwa na mwenye kiti wao lugumya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…