Huyu mwanamke ulimla kwa sababu alitaka kulipa kisasi kwa mtu wake. Na alitafuta nani wa kumla akaona wewe kwenye list ndio una score mingi akakuletea
 
Ewaaaaaah hapo sasa, weuweeeeeeh.
 
Huyu mwanamke ulimla kwa sababu alitaka kulipa kisasi kwa mtu wake. Na alitafuta nani wa kumla akaona wewe kwenye list ndio una score mingi akakuletea
Mwanzoni niliwaza hivi pia ila kilichokuja kunichanganya ni vile mapenzi yalivyohamia kwangu ghafla mpaka yupo tayari kujirisk hata Maisha kwa ajili yangu
 
Asubuh nimedamka kuelekea katikati ya jiji kuendelea na mishemishe za kujenga taifa mfukon nina pesa ya kitanzania tsh 10000/= nimepanda dalala ambayo ilijaa sana watu asubuh ile wapo na haraka na michakato yao ya kila siku

Basi nikafika ninaposhuka nikatoa ile pesa kwa asubuh ile kondacta alilaumu sana kwann nampa 10k akasema hana chench akaomba kwa abiria bila mafanikio na kituo nilichoshuka hakukua na duka ambalo angeomba chench basi nilishuka na binti mmoja alietupia ushungi yeye alitoa buku hivyo konda alimuomba akate ya watu wawil then sisi tutamalizana bint kakubali ikawa hivyo

Nimebaki na bint pale kituon akaniambia yeye hana pesa nyingine hivyo tutafute chench ili apate 400 yake nikasema sawa hao tukatoka kwenda ng'ambo ya pili ya barabara tunakuta kibanda cha wakala alikuwa anafungua muda ule nikaomba kuweka 2k kwenye simu aliponipa chench nikampa yule dada buku mbili akashukuru tukaanza safari ya kuvuka tena barabara hapo tulipiga story kidogo tukafahamiana akaondoka zake na mm nikaondoka zangu

Wakala ananipigia...
Imepita kama dk 20 tokea tuachane naona wakala amenichek kuniambia nimeacha funguo namba zangu aliziona nadhan kwny msg za pesa
_ yule dada alisahau funguo za nyuban kwake pale kwa wakala basi mida mida katika mishemishe nikajikuta nipo karibu na wakala nikaenda story mbili tatu akanipafunguo kwa vile bint aliniambia anapofanyia kaz nikaona nimpitishie ... kutokea pale mambo yakawa mengi nikasahau kupitisha funguo za watu kidogo jion hii hapa

Niliona namba ngeni imepiga kupokea akanipa utambulisho na kuniambia amepoteza funguo na amepita sehem zote alizopita asubuh hadi kwa wakala na kumuambia nimezichukua na namba alipewa na wakala. Niliomba msamaha kwa kutompitishia tukakubaliana tukutane sehem nimpe funguo yake

Huo ndo ulikuwa mwanzo ya mawasiliano yetu tulizoeana kidogo ikawa kila asubuh ananichek ili nimpitie tuondoke wote .... itaendelea
 
endelea
 
Asante kwa story nzuri sana
Nitakushauri cha kufanya
Swali langu kwako je wewe binafsi unampenda huyu dada na usingetaka kumwachia?
Naamini unampenda lakini si kwa kumganda kivilee...! Tena haswa ukijua kwamba umefanywa substitute badala la mtoto wa kigogo
Kama ni hivyo basi chakukushauri ni hiki
Mwambie dada awe na msimamo kwa huyo bwege wake(kigogo mtoto) yaani arejeshe mahusiano kwa sharti moja tu kwamba amwoe. Tofauti na hivyo asimpe uchi. Fanya mapenzi na rafiki yako kwa siri sana na ijulikane kwa jamaa kwamba ushatemana nae. Hii itapandisha hadhi ya demu kwa mtoto wa kigogo
Msaidie binti kwa kuongea nae ili aelewe nia yako ni kumfanikisha aolewe pazuri (maisha pesa[emoji1787] au sio) na wewe huna mzuka nae kivileee licha ya mautamu anayokupa.
Narudia tena msaidie binti aolewe kwenye familia bora
UTAKUJA NISHUKURU BAADAE
 
[emoji23][emoji23] ewaaa nahiyo ndo shida

Yaan watu wangekua kama Mimi mzungu[emoji23][emoji23]

Mie sina shida hata uweke visa vyako kumi, kama nmekuelewa hata Sikujaji, nakuPM tu.

Si kondom zipo???
Carlos wewe ni katika wachache wanaoelewa...wengi Ni very judgemental,na kwa hiyo hapo Ni mwendo wa kuplay decent na kuficha kucha zetu barabara.
 
Asante Sana mkuu kwa ushauri mzuri Mimi pia hua najitahidi kumshauri mrembo ajitulize kwa mwamba kwani atafurahia vingi mwanzoni alikua ananielewa Sana ndio maana kila walipokua wanagombana akija kuniambia namshaauri wanarudiana Tena tatizo limekuja toka nimemchakata haambiliki chochote zaidi ya kudai anataka afanye Maisha namimi hamtaki Tena mwamba anadai alikua mfungwa wa kimapenzi sasaivi anajihisi yupo huru kwangu ila ntajitahidi kufanya ulivyonishauri mkuu
 
Huyo mpaka leo hajaweka yeye ni kushadadia tuu wanawake wenzie kuliwa kimasikhara🤣🤣🤣🤣
 
Asante Sana mkuu kwa ushauri mzuri Mimi pia hua najitahidi kumshauri mrembo ajitulize kwa mwamba kwani atafurahia vingi mwanzoni alikua ananielewa Sana ndio maana kila walipokua wanagombana akija kuniambia namshaauri wanarudiana Tena tatizo limekuja toka nimemchakata haambiliki chochote zaidi ya kudai anataka afanye Maisha namimi hamtaki Tena mwamba anadai alikua mfungwa wa kimapenzi sasaivi anajihisi yupo huru kwangu ila ntajitahidi kufanya ulivyonishauri mkuu
 
Hahahah this made my day ushauri mzur sanaa huuuu jamaa asiupuuze
 

[emoji478] [emoji477]️
 
Saiz nipo branch ya Kenya, nitakutumia email
 
Carlos wewe ni katika wachache wanaoelewa...wengi Ni very judgemental,na kwa hiyo hapo Ni mwendo wa kuplay decent na kuficha kucha zetu barabara.
Aaahhh matumizi mabaya ya bando ... Kitu ambayo haina makombwe, ikitumika haiachi alama kwamba imetumika, Utelezi wake uko pale pale ...

Yann uwe nayo gubu???



Wewe ukiletewa, acha kusema Demu mwenyewe aliliwa na Fulani, fulan Fulani Fulani..

Umeletewa , Ishughulikie tu, Kondomu zipo, vaaa pigaaaa kojoa zako za kutosha , iruhusu irudi nyumban.


MTU anakuelewa, atakuelewa tu.


Siku ziendee.... Usiwe serious sana.!!!
 
Mkuu wewe ni Mwaisa nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…