Hivi ilikuwaje ukajiita Joannah mkuu?ulikuwa member hapo kabla?huoni tunavyochanganyana manake majina yetu yanafanana sana

Nimeuliza sio kwa ubaya
Kwanza Mimi hii sio nickname Ni jina langu kweli, so nilvyotaka kujiunga jf sikujua Kuna member ana jina Kama hili, ? baadae ndio nakuona unatrend ...nilivyoingia username haikuonyesha Kuna mtu ana same name nadhani Ni Sababu ya tofauti za spelling..
 
Mgonjwa mwingine huyoooo,usisahau kile kitendea kazi ulichopaka kidoleni unapompima yutiyai[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] daaah umenishinda tabia kwa kweli.
we Joannah kwani we hutaki kutibiwa kama yule?
 
Duh kama mpaka wewe mwanamke mwenzie unakubali kuwa wife ni mrembo basi huyo pisi kali🤣🤣🤣🤣
Alafu sasa kwa ujinga wa haka kamchezo basi utakuwa unampa vitu ambavyo wife hafanyi
Mi nilikuwa hata sijui anapewa nn na mrembo wake nilikuwa busy na match zangu😂😂nilikuwa hata so shindani nae yaani....alikuwa anapenda kusema I like the way ur playing ur cards.... very smart!...
 
Mi nilikuwa hata sijui anapewa nn na mrembo wake nilikuwa busy na match zangu😂😂nilikuwa hata so shindani nae yaani....alikuwa anapenda kusema I like the way ur playing ur cards.... very smart!...
Duh balaa...kweli jamaa alidata. Wee wanaume as long as unapata mwanamke ambaye anajua kuwa una mke na bado anaendelea kukupa mbususu with no attachments she is a keeper
 
Duh balaa...kweli jamaa alidata. Wee wanaume as long as unapata mwanamke ambaye anajua kuwa una mke na bado anaendelea kukupa mbususu with no attachments she is a keeper
Imani yetu wote ilikuwa hairuhusu wake wawili, so sikuwa na Sababu ya kuforce vitu visivyowezekana...tulikuwa tunafanya dhambi tu.. Ila alinitunza Sana aiseee
 
Hii nimedinda kubabbaake
 
Hv hukuifinyia kwa ndani dushe ya boss? [emoji39][emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…