Au angefupisha tuu

Hii code ni rahis mtu kuunganisha dote na kupata hualisia, unajiweka katika sumu mbaya sana na unaweza kutengeneza huadui na hio familia

Ukiaminika jaribu kutunza huo huaminifu utakusaidia sana
 
Legendary, habari za siku nyingi Mkuu?

Nimefurahi kukuona tena hapa, lile ombi langu la kuoa kwako nitalileta rasmi akipatikana mshenga hivi karibuni😀

Msalimie Bibi yetu Hamida
 
Hii thread edit..km vipi futa kbsaaaa...yn km ni ndg yngy nakutambua vzr
 
Umechelewa

Wameolewa wote
Kweli Wahenga hawakukosea waliposema "Chelewa Chelewa Utakuta mwana si wako" na "Mchagua Jembe Si Mkulima"

Nimesikitika sana Kumkosa Binti yako yule Shombe Shombe🙆‍♂️

Karibu Krismasi Mkuu 🎅
 
Acha uongo wee mtu, peramiho sio wilaya mpya, ila ni makao makuu ya wilaya ya songea vijijini, ambapo mwanzo yalikuepo ndani ya songea mjini.

Na makao hayo yapo ktk kata ya lundusi, mbele ya kata ya maposeni.
Hakuna wilaya inaitwa Songea vijijini, Wilaya ni Songea labda hiyo Premiho ni Halmashauri wilaya ya Songea
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio huyo tyuuh wapo wengi mno, songea hatujawahi ku fail ktk kukamatia fursa, tunachukua nzima nzima

Hata wee kajichanganye uone, utaleta mrejesho. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mwingine wa TRA nae kamfungulia mpaka biashara bidada kamuelewa vibaya [emoji1787]
 
Home boy umetisha sana ingawa umetupiga ma time travel na multipulation, vurugu tupu kwa wenye vichwa KB 10. Pia umefungua sana code mkuu ushatambulika hapo kama wahusika wapo humu na joka jeusi anashauri uoe hapoo. ..?
Homeboy ngoja nifute manake nimeanza kuogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…