Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Namtumbo sio peramiho, Namtumbo ni walaya inayojitegemea ipo njia ya kwenda Tunduru, Peramiho kwa sasa imekua wilaya mpya zamani ilikua ktk wilaya ya Songea vijijini yenyewe ipo njia ya kwenda Mbinga kuna sehem inaitwa Likuyufusi kuna sheli unachepuka upande wa kulia ndio unaelekea Peramiho sasa.

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Aya Sasa baada ya kuwasilisha, wasilisha na connection..
 
Namtumbo sio peramiho, Namtumbo ni walaya inayojitegemea ipo njia ya kwenda Tunduru, Peramiho kwa sasa imekua wilaya mpya zamani ilikua ktk wilaya ya Songea vijijini yenyewe ipo njia ya kwenda Mbinga kuna sehem inaitwa Likuyufusi kuna sheli unachepuka upande wa kulia ndio unaelekea Peramiho sasa.

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hospital ya peramiho ile ya masister ndo nimezaliwa hapo sijui kama bado hipo ??? Maana niliamia dar nikiwa mdogo
 
Namtumbo sio peramiho, Namtumbo ni walaya inayojitegemea ipo njia ya kwenda Tunduru, Peramiho kwa sasa imekua wilaya mpya zamani ilikua ktk wilaya ya Songea vijijini yenyewe ipo njia ya kwenda Mbinga kuna sehem inaitwa Likuyufusi kuna sheli unachepuka upande wa kulia ndio unaelekea Peramiho sasa.

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo wee mtu, peramiho sio wilaya mpya, ila ni makao makuu ya wilaya ya songea vijijini, ambapo mwanzo yalikuepo ndani ya songea mjini.

Na makao hayo yapo ktk kata ya lundusi, mbele ya kata ya maposeni.
 
Namtumbo sio peramiho, Namtumbo ni walaya inayojitegemea ipo njia ya kwenda Tunduru, Peramiho kwa sasa imekua wilaya mpya zamani ilikua ktk wilaya ya Songea vijijini yenyewe ipo njia ya kwenda Mbinga kuna sehem inaitwa Likuyufusi kuna sheli unachepuka upande wa kulia ndio unaelekea Peramiho sasa.

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Peramiho pia sio wilaya

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mdada kaotewa na mvua nje hapo, natazama nje naona mtu kajibanza majia ya mvua yasimpige.. nika mkaribisha ndani, story tano za utani mtoto kaelekea kibla nimekula kiutani utani, kalala hapa namtazama matako tu 👴🏿👴🏿👴🏿👴🏿👴🏿👴🏿👴🏿 yupo hoi maana sio kwa shuti nililopiga kama la Robert Carlos beki namba tatu wa Brazil enzi zile

B439E0B3-B0D9-4316-B836-421CBC586611.jpeg
 
Mkuu, pale sio makao makuu ya wilaya ila ni ofisi za Halmashauri ya Songea Vijijini. Na ndyo maana inaitwa ofisi ya Mkurugenzi na sio Ofisi ya Mkuu wa wilaya. Ile ipo Kata Ya peramiho, kijiji cha Lundusi, mtaa wa Dodoma ikipakana na mtaa wa Namakinga.
Ahsante kwa masahihisho, nlijua n makao ya wilaya.
 
Namtumbo sio peramiho, Namtumbo ni walaya inayojitegemea ipo njia ya kwenda Tunduru, Peramiho kwa sasa imekua wilaya mpya zamani ilikua ktk wilaya ya Songea vijijini yenyewe ipo njia ya kwenda Mbinga kuna sehem inaitwa Likuyufusi kuna sheli unachepuka upande wa kulia ndio unaelekea Peramiho sasa.

Nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye mji wangu nipo hapa mkuu Safi Sana unaijua vizur peramiho

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Habari ndugu zangu, sina uhakika sana ila nadhani ni hapa jukwaani ambapo kuna mtu alisema kua dawa zile za kutoa mimba kua ukiandikiwa hospital hua ni shilingi elfu mbili kwa kidonge kidonge? Misoprosto?Wadau wakampinga?,Nina kisa changu ila kabla sijakiweka nijibiwe kwanza swali je bado kuna ubishi kuhusu uhakika wa mdau alichokisema?
 
Ndio Mkuu ni hapa ujakosea kuhusu mwafaka wa ilo jambo alikupata suluhu sahihi
 
Back
Top Bottom