Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Endeleeni ila jikingeni
Screenshot_20211207-133831.jpg
 
Ila watu wanaofuataga wake za watu sijui wanawazaga nini asee, yani unacheza sarakasi kwenye transfoma mimi kwa kweli wanipitie mbali yalishanikuta nashukuru yule jamaa muelewa na the way nilijieleza akanisamehe, na pia alijua mimi ni mgeni eneo na mkoa ule so sikujua kama ni mke wa mtu ukizingatia alinitongoza mwenyewe ila tangu pale sitaki kuwasikia.

Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1][emoji1][emoji1][emoji2][emoji2]
 
Uzi wa kiumeni huu. Sijasoma wote ukute hapo kati kati kuna mtu kashasema alinila kimasihara enzi hizoo duuu
Itakua kweli waliku-consume, kwa nn ujihisie bila sababu. Kama vp shusha kisa kilikuaje tucheke tufurahi maisha yaendeleee
 
Heri angekupa nafasi ya kuwasiliana nae,umepoteza namba au ttzo nini hauwasilian nae
Inawezekana kabisa wakati Mkuu amepoteza simu mzazi mwenzake alikuwa anamtafuta sana hakumpata. Basi akachukulia kuwa hataki kuhusishwa na malezi ya mtoto. Ukizingazia mazingira ya walivyo kutana. Na eye akaamua kujikata.
 
Itakua kweli waliku-consume, kwa nn ujihisie bila sababu. Kama vp shusha kisa kilikuaje tucheke tufurahi maisha yaendeleee
Mbona kawaida tuu mkuu. Na kama ni kipindi kilichopita na maisha yanaendelea wala sio tatizo. Kwahyo kuwa kweli au sio kweli haina ubaya. Huyo aliekula kimasihara ndo ajitokeze asimulie sio mimi.
 
imewahi nitokea mara mbili,

ya kwanza Mwaka 2013 kipindi nafanya kazi bank moja kubwa hapa nchini (bank teller) wana tawi moja hapo Lumumba, sasa kuna mama mmoja alikuwa mashallah, huku nyuma nidhamu ya kutosha, kusema kweli kiumri yule mama ananizaa.. ila nilimpenda sana alikuwa anafanya kazi hospital ya mnazi mmoja.. sasa huyu mama sijui alijua kama nampenda kwahiyo akija kutoa hela bank ansubiri kwenye dirisha langu tu ndio ahudumiwe hata kama kuna dirisha lipo wazi ila na mimi namhudumia mteja atasubiri mpaka mimi nimalize ndio yeye aje kwangu...
basi bwana nakumbuka siku moja ilikuwa jumamosi, tulikuwa tunawahi kufunga...baada ya kutoka nikawa pale mnazi mmoja nasubiri daladala za kwenda tabata, yeye akapita na gari yake, alivyoniona akasimama. akanipa lift (kumbe nae anakaa tabata segerea, mimi nilikuwa nakaa kinyerezi). nikakaa nae seat ya mbele..

aisee safari ilikuwa ngumu sana kwani yule mama alijiachia sana kwenye gari, nikawa naona mapaja yake meusi yaliyonona mpaka nikadindisha..Mama ni mtu mzima lakini hapana jamani..

tulipofika segerea nikamuomba kushuka ili nipande vigari vya kinyerezi na yeye aende kwake coz aliniambia anakaa segerea. bahati mbaya mvua ilikuwa inanyesha akasema haina shida ngoja anipeleke nyumbani.. na kweli akanipeleka hadi nyumbani.. tulipofika home akasema anaomba aingie uwani kwani amebanwa na mkojo.. ( nilikuwa nina chumba kimoja self contained)... akaingia chooni kujisaidia..

alipokuwa chooni nikasikia kama kishindo mtu ameteleza, nikataka niende kumuangalia roho ikasita... wakati najiuliza mara yule mama akaniita niende kumsaidia chooni kwani ameteleza..nilipoingia tu nikamkuta kama ameteleza na kuanguka upande hivyo anaitaji support... basi bwana..ile namuinua kwa bahati mbaya akagusa ikulu ambayo ilikuwa imesimama vilivyo... nikapotezeaa...

wakati sasa anaondoka kwenda nje mimi bado kitu kimesimama, ghafla nimesimama nampisha mlangoni si akanishika ikulu, mimi kwa aibu nikamwambie yule mama nikuoneshe? akasema ndio halafu akakaa kitandani... aiseee baada ya hapo
 
Back
Top Bottom