Nimekatema mkuu ila katanitafuta kenyewe mkuu sms hizo nimekuwa nikiwaambia mademu kadhaa na kuwala japo first time uwa wanakasilika na kunipiga block ila baadae wana ni inblock na maisha mengine yanaendelea
Ila kweli hiyo sound imetulia sana, siunajua huwa wanapenda kuhakikisha kama ni kweli nahapo ndio huwa wanaangukia kwenye mikono ya baharia, au siku akikosana na huyo basha wake atakutafuta
 

Aahhh umesababisha nimemunblock mtu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…