Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Asubuhi kama mida ya Saa mbili Bado nimeshangaa shangaa chumbani guest house, nikasikia mlango unagongwa, kuuliza nani, najibiwa ni mhudumu wa usafi. Jana yake nilirudi mida mibovu nikiwa mitungi mingi, nilisahau kufunga mlango kwa funguo. Nikiwa ndani ya shuka, nilimkaribisha. Duuuh, kaingia binti anawaka, mrembo haswa. Akanisabahi na kuomba kufanya usafi, sikuwa na hiyana. Sasa bhana, huyu binti alijua anachofanya na anachotaka.
Uliuza Mechi mkuu?
 
Mlaji wa kimasihara akamatwa huko Iringa...
FB_IMG_1637050104200.jpg
 
Tafuna karanga mbichi, miogo ,Nazi.

Kula parachichi ,tango,tikitiki.

Au ukipata mbengu za maboga.

Nunua asali, changanya na unga wa mdarasin,na unga wa tangawizi....lamba vijiko viwil, asubuh--jion.

Fanya mazoez ya kuimarisha Misul yabl uume na pumzi.
Hii ya Asali na mdarasini mixer unga wa tangawizi kwa kifua pia sio salama kbs

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom