mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 19,059
- 37,278
Ni kweliSaa ingine unabaki kushangaa Mkuu, Manake katika hali ya kawaida ni kwamba haiwezekani kumla mtu kwa dizain Hiyo.
Ni kweliSaa ingine unabaki kushangaa Mkuu, Manake katika hali ya kawaida ni kwamba haiwezekani kumla mtu kwa dizain Hiyo.
Itakua alisoma humu....kuna mwamba alisema ni watamu balaa,jamaa alisema walikua na ratiba ya kuwala kila jioni,joto Lao ni balaaMlaji wa kimasihara akamatwa huko Iringa...View attachment 2012591
Bili kwake!au siyoo!Rikboy popote ulipo kunywa K Vant kubwa
Maziwa fresh au mtindi? Supplement Vitamin D ndo nn hii mkuuuHii tiba ni week ngapi mkuu.....
Nimeanza na supplement ya vitamin D pia, maziwa na ndizi 3
Masihara babaMlaji wa kimasihara akamatwa huko Iringa...View attachment 2012591
Hii ya Asali na mdarasini mixer unga wa tangawizi kwa kifua pia sio salama kbsTafuna karanga mbichi, miogo ,Nazi.
Kula parachichi ,tango,tikitiki.
Au ukipata mbengu za maboga.
Nunua asali, changanya na unga wa mdarasin,na unga wa tangawizi....lamba vijiko viwil, asubuh--jion.
Fanya mazoez ya kuimarisha Misul yabl uume na pumzi.
Tangawizi na Asali ina athari gani kwa kifua.. Unaweza tujuzaHii ya Asali na mdarasini mixer unga wa tangawizi kwa kifua pia sio salama kbs
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Mimi najua asali na tangawizi ndo dawa za kifuaTangawizi na Asali ina athari gani kwa kifua.. Unaweza tujuza
Mdau hapo juu anasema sio salama kwa kifua...Na mimi ni mtumiaji mzuri Sana wa huo mchanganyiko kwa ajili ya kutibu kifua... Nashindwa kuelewaMimi najua asali na tangawizi ndo dawa za kifua
Dah...Mlaji wa kimasihara akamatwa huko Iringa...View attachment 2012591
Duh... Jamaa unaweza kuta ana mke ama Dem dadekii...Masihara babaView attachment 2012832
Nendeni kwenye majukwaa ya Afyaa bhanaaaMimi najua asali na tangawizi ndo dawa za kifua
Tatizo letu wanaume bana, kichwa cha chini kikiwa active, cha juu huwa kinakuwa hakifanyi kazi kabisaaa!!!now jamaa atakua anajuta baada ya kichwa cha juu kuwa active.Mlaji wa kimasihara akamatwa huko Iringa...View attachment 2012591
Huyo jamaa alikua amelewaTatizo letu wanaume bana, kichwa cha chini kikiwa active, cha juu huwa kinakuwa hakifanyi kazi kabisaaa!!!now jamaa atakua anajuta baada ya kichwa cha juu kuwa active.
Sas wanajiuzaje na weng wanaliwa bure humuNimekuja kuelewa inawezekana wengi humu wmekula pisi zinazojiuza kule telegram, yaani ukiangalia kule telegram na hizi za kimasihara unaona kuna chance mazee unakua umepiga dada poa bila kujua ukihisi umepata demu. Wanawake wengi wanauza mzigo kule telegram tukumbuke mipira au kujipima.
Ngoja nikazzitafute mkuu....hizi supplements za vitamin D3 phamarcy nyingi si zipo?Kula vitamin D3, vitamin C na fish oil wiki tu. Chombo hakilali kabisa, hizo vitamin kama havitasaidia nakurudishia hela yako yote.
Lunatic
Fresh mazuri zaidi mkuu, kama unaweza unatumia sikuzote kama ni gharama ulipo tumia mila baada ya siku 2 au 3 na hapijatikati ndo matunda kama alivyoelekeza jamaa .....vitamin D supplement ni vidonge vya vitamin D Vina zinc na copper ya kutosha....Maziwa fresh au mtindi? Supplement Vitamin D ndo nn hii mkuuu
Yaan hatariiWewe ni nomaa sana