DohIlikuwa mwaka flani nimemaliza chuo. Katika harakati za kutafuta kazi kuna kazi zilitangazwa serikalini. Ila wakataka anaeapply lazima vyeti vyake viwe verified mahakamani.
Kesho yake asubuhi nikaenda mahakamani nikaelekezwa kwa hakimu kufika nikamkuta hakimu ni mkaka tu[emoji6] nikahisi hakuwa na muda mrefu tangu aajiriwe.
Nikaongea shida yangu. Nikamkabidhi vyetu vyangu ili apige muhuri na kusaini. Ila kuna vitu akadai vimekosekana ni lazima nirudi home nikavilete.
Akaniambia anatoka pale ofisini akanipa namba yake ili nikirudi nimpigie aje asaini.
Kweli nikarudi home haikuwa mbali na pale mahakamani. Nikachukua vitu alivyonielekeza then nikarudi eneo la tukio.
Nikampigia kwamba nimerudi na kweli baada ya muda nae akaja ofsini. Akafanya kazi yake. Nikasepa.
Jioni naona akanipigia akaniambia inabidi niende na vile vyeti amegundua kuna kitu amesahau kujaza. Nami ndo ilikuwa mara ya kwanza kuapply kazi na ishu za vyeti kuwa verified sikuwa najua chochote nilikubali kwenda. Alinambia niende moja kwa moja home kwake kwa kuwa muda wa kazi umeshaisha ilikuwa saa 11 jioni.
Akanielekeza nikaenda kufika hakuna cha vyeti wala nini. Tukapiga story, akaweka movie bandika bandua na kufahamiana name black bla kibao. Alikuwa anaishi peke yake
Kilichofuata ni kuliwa kimasihara nisiwe mnafki nilienjoy sana ile siku. Tuliendelea na mahusiano kwa miaka mitatu. Tukaja kuachana. Japo Ile kazi niloapply sikupata lakini alinitafutia kazi nyingine private sector.
B kama upo humu heshima kwako.....
Were...mpk nimemeza mate!!!Ilikuwa mwaka flani nimemaliza chuo. Katika harakati za kutafuta kazi kuna kazi zilitangazwa serikalini. Ila wakataka anaeapply lazima vyeti vyake viwe verified mahakamani.
Kesho yake asubuhi nikaenda mahakamani nikaelekezwa kwa hakimu kufika nikamkuta hakimu ni mkaka tu[emoji6] nikahisi hakuwa na muda mrefu tangu aajiriwe.
Nikaongea shida yangu. Nikamkabidhi vyetu vyangu ili apige muhuri na kusaini. Ila kuna vitu akadai vimekosekana ni lazima nirudi home nikavilete.
Akaniambia anatoka pale ofisini akanipa namba yake ili nikirudi nimpigie aje asaini.
Kweli nikarudi home haikuwa mbali na pale mahakamani. Nikachukua vitu alivyonielekeza then nikarudi eneo la tukio.
Nikampigia kwamba nimerudi na kweli baada ya muda nae akaja ofsini. Akafanya kazi yake. Nikasepa.
Jioni naona akanipigia akaniambia inabidi niende na vile vyeti amegundua kuna kitu amesahau kujaza. Nami ndo ilikuwa mara ya kwanza kuapply kazi na ishu za vyeti kuwa verified sikuwa najua chochote nilikubali kwenda. Alinambia niende moja kwa moja home kwake kwa kuwa muda wa kazi umeshaisha ilikuwa saa 11 jioni.
Akanielekeza nikaenda kufika hakuna cha vyeti wala nini. Tukapiga story, akaweka movie bandika bandua na kufahamiana name black bla kibao. Alikuwa anaishi peke yake
Kilichofuata ni kuliwa kimasihara nisiwe mnafki nilienjoy sana ile siku. Tuliendelea na mahusiano kwa miaka mitatu. Tukaja kuachana. Japo Ile kazi niloapply sikupata lakini alinitafutia kazi nyingine private sector.
B kama upo humu heshima kwako.....
Alinidanganya sikufanya maandalizi kabisa. Tuko eneo la tukio ndio anauliza kama nina kinga hapo tuko uchi, sikuwa nazo na sikujua kama yuko hatarini. Mzunguko wake naujua ila alinipoupindisha ili asije siku niliyotaka ndio nikaamini makosa. Sasa lawama nabeba mimiWhat dd u do to me!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawa viumbe sijui nani anawashikia akili
Aliinjoi sana na mheshimiwa hakimu!Hahaaa kwanini sasa hadi umeze mate
kumbe na ww upo huku...sikuwahi kuwaza hili jamboIlikuwa mwaka flani nimemaliza chuo. Katika harakati za kutafuta kazi kuna kazi zilitangazwa serikalini. Ila wakataka anaeapply lazima vyeti vyake viwe verified mahakamani.
Kesho yake asubuhi nikaenda mahakamani nikaelekezwa kwa hakimu kufika nikamkuta hakimu ni mkaka tu[emoji6] nikahisi hakuwa na muda mrefu tangu aajiriwe.
Nikaongea shida yangu. Nikamkabidhi vyetu vyangu ili apige muhuri na kusaini. Ila kuna vitu akadai vimekosekana ni lazima nirudi home nikavilete.
Akaniambia anatoka pale ofisini akanipa namba yake ili nikirudi nimpigie aje asaini.
Kweli nikarudi home haikuwa mbali na pale mahakamani. Nikachukua vitu alivyonielekeza then nikarudi eneo la tukio.
Nikampigia kwamba nimerudi na kweli baada ya muda nae akaja ofsini. Akafanya kazi yake. Nikasepa.
Jioni naona akanipigia akaniambia inabidi niende na vile vyeti amegundua kuna kitu amesahau kujaza. Nami ndo ilikuwa mara ya kwanza kuapply kazi na ishu za vyeti kuwa verified sikuwa najua chochote nilikubali kwenda. Alinambia niende moja kwa moja home kwake kwa kuwa muda wa kazi umeshaisha ilikuwa saa 11 jioni.
Akanielekeza nikaenda kufika hakuna cha vyeti wala nini. Tukapiga story, akaweka movie bandika bandua, kufahamiana na bla bla kibao. Alikuwa anaishi peke yake
Kilichofuata ni kuliwa kimasihara nisiwe mnafki nilienjoy sana ile siku. Tuliendelea na mahusiano kwa miaka mitatu. Tukaja kuachana. Japo Ile kazi niloapply sikupata lakini alinitafutia kazi nyingine private sector.
B kama upo humu heshima kwako.....
Mheshimiwa hakimu akahamishia mahakama nyumbani kwake kwa muda, ili hukumu iwe nzuri [emoji4][emoji4]Ilikuwa mwaka flani nimemaliza chuo. Katika harakati za kutafuta kazi kuna kazi zilitangazwa serikalini. Ila wakataka anaeapply lazima vyeti vyake viwe verified mahakamani.
Kesho yake asubuhi nikaenda mahakamani nikaelekezwa kwa hakimu kufika nikamkuta hakimu ni mkaka tu[emoji6] nikahisi hakuwa na muda mrefu tangu aajiriwe.
Nikaongea shida yangu. Nikamkabidhi vyetu vyangu ili apige muhuri na kusaini. Ila kuna vitu akadai vimekosekana ni lazima nirudi home nikavilete.
Akaniambia anatoka pale ofisini akanipa namba yake ili nikirudi nimpigie aje asaini.
Kweli nikarudi home haikuwa mbali na pale mahakamani. Nikachukua vitu alivyonielekeza then nikarudi eneo la tukio.
Nikampigia kwamba nimerudi na kweli baada ya muda nae akaja ofsini. Akafanya kazi yake. Nikasepa.
Jioni naona akanipigia akaniambia inabidi niende na vile vyeti amegundua kuna kitu amesahau kujaza. Nami ndo ilikuwa mara ya kwanza kuapply kazi na ishu za vyeti kuwa verified sikuwa najua chochote nilikubali kwenda. Alinambia niende moja kwa moja home kwake kwa kuwa muda wa kazi umeshaisha ilikuwa saa 11 jioni.
Akanielekeza nikaenda kufika hakuna cha vyeti wala nini. Tukapiga story, akaweka movie bandika bandua, kufahamiana na bla bla kibao. Alikuwa anaishi peke yake
Kilichofuata ni kuliwa kimasihara nisiwe mnafki nilienjoy sana ile siku. Tuliendelea na mahusiano kwa miaka mitatu. Tukaja kuachana. Japo Ile kazi niloapply sikupata lakini alinitafutia kazi nyingine private sector.
B kama upo humu heshima kwako.....
Una aleji na Mbinguni wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sahivi nipo kwenye sale tuma laki moja chap kabla sale haijaisha nikupe account namba? Au kwa wakala utoe kabisa tupunguze tozo
Hongera zake B, alituwakilisha vyema [emoji1][emoji1][emoji3][emoji3] mkuu umenichekesha sana..Ila wanaume wana mbinu nyingi sana. Kumbe alinipa namba yake makusudi tu ili nikirudi nimpigie aweze kuipata namba yangu. Na wala si kweli kwamba kitu alichoniambia kimekosekana nikifate home kilikuwa na umuhimu wowote. Ni mbinu za kibaharia wanavodai[emoji4][emoji4][emoji4]
Ilikuwa mwaka flani nimemaliza chuo. Katika harakati za kutafuta kazi kuna kazi zilitangazwa serikalini. Ila wakataka anaeapply lazima vyeti vyake viwe verified mahakamani.
Kesho yake asubuhi nikaenda mahakamani nikaelekezwa kwa hakimu kufika nikamkuta hakimu ni mkaka tu[emoji6] nikahisi hakuwa na muda mrefu tangu aajiriwe.
Nikaongea shida yangu. Nikamkabidhi vyetu vyangu ili apige muhuri na kusaini. Ila kuna vitu akadai vimekosekana ni lazima nirudi home nikavilete.
Akaniambia anatoka pale ofisini akanipa namba yake ili nikirudi nimpigie aje asaini.
Kweli nikarudi home haikuwa mbali na pale mahakamani. Nikachukua vitu alivyonielekeza then nikarudi eneo la tukio.
Nikampigia kwamba nimerudi na kweli baada ya muda nae akaja ofsini. Akafanya kazi yake. Nikasepa.
Jioni naona akanipigia akaniambia inabidi niende na vile vyeti amegundua kuna kitu amesahau kujaza. Nami ndo ilikuwa mara ya kwanza kuapply kazi na ishu za vyeti kuwa verified sikuwa najua chochote nilikubali kwenda. Alinambia niende moja kwa moja home kwake kwa kuwa muda wa kazi umeshaisha ilikuwa saa 11 jioni.
Akanielekeza nikaenda kufika hakuna cha vyeti wala nini. Tukapiga story, akaweka movie bandika bandua, kufahamiana na bla bla kibao. Alikuwa anaishi peke yake
Kilichofuata ni kuliwa kimasihara nisiwe mnafki nilienjoy sana ile siku. Tuliendelea na mahusiano kwa miaka mitatu. Tukaja kuachana. Japo Ile kazi niloapply sikupata lakini alinitafutia kazi nyingine private sector.
B kama upo humu heshima kwako.....
Hakuna cha kusema hapo ni kuthibitisha tu xyz123 imethibitishwa utaona kama ataendelea kuguna guna eti mmmh mmhh
It's not only used in termination of pregnancy it can be used in PUD alsoMisoprostol elfu 3?mhmhh phamacy gani hiyo? Na hakuna dr anaweza kuandika prescription za hivyo its forbidden its unprofessional and not ethical, hospital wana dawa zao za kutoa mimba iliharibika ndiyo watampa dawa
nice vIlikuwa mwaka flani nimemaliza chuo. Katika harakati za kutafuta kazi kuna kazi zilitangazwa serikalini. Ila wakataka anaeapply lazima vyeti vyake viwe verified mahakamani.
Kesho yake asubuhi nikaenda mahakamani nikaelekezwa kwa hakimu kufika nikamkuta hakimu ni mkaka tu[emoji6] nikahisi hakuwa na muda mrefu tangu aajiriwe.
Ishanikuta hii halafu ndo mpk Leo tuko pamoja mwaka wa pili huu!!hahaaha[emoji3][emoji3] mkuu umenichekesha sana..Ila wanaume wana mbinu nyingi sana. Kumbe alinipa namba yake makusudi tu ili nikirudi nimpigie aweze kuipata namba yangu. Na wala si kweli kwamba kitu alichoniambia kimekosekana nikifate home kilikuwa na umuhimu wowote. Ni mbinu za kibaharia wanavodai[emoji4][emoji4][emoji4]
Kisa cha kufungia mwaka hichiIlikuwa mwaka flani nimemaliza chuo. Katika harakati za kutafuta kazi kuna kazi zilitangazwa serikalini. Ila wakataka anaeapply lazima vyeti vyake viwe verified mahakamani.
Kesho yake asubuhi nikaenda mahakamani nikaelekezwa kwa hakimu kufika nikamkuta hakimu ni mkaka tu[emoji6] nikahisi hakuwa na muda mrefu tangu aajiriwe.
Nikaongea shida yangu. Nikamkabidhi vyetu vyangu ili apige muhuri na kusaini. Ila kuna vitu akadai vimekosekana ni lazima nirudi home nikavilete.
Akaniambia anatoka pale ofisini akanipa namba yake ili nikirudi nimpigie aje asaini.
Kweli nikarudi home haikuwa mbali na pale mahakamani. Nikachukua vitu alivyonielekeza then nikarudi eneo la tukio.
Nikampigia kwamba nimerudi na kweli baada ya muda nae akaja ofsini. Akafanya kazi yake. Nikasepa.
Jioni naona akanipigia akaniambia inabidi niende na vile vyeti amegundua kuna kitu amesahau kujaza. Nami ndo ilikuwa mara ya kwanza kuapply kazi na ishu za vyeti kuwa verified sikuwa najua chochote nilikubali kwenda. Alinambia niende moja kwa moja home kwake kwa kuwa muda wa kazi umeshaisha ilikuwa saa 11 jioni.
Akanielekeza nikaenda kufika hakuna cha vyeti wala nini. Tukapiga story, akaweka movie bandika bandua, kufahamiana na bla bla kibao. Alikuwa anaishi peke yake
Kilichofuata ni kuliwa kimasihara nisiwe mnafki nilienjoy sana ile siku. Tuliendelea na mahusiano kwa miaka mitatu. Tukaja kuachana. Japo Ile kazi niloapply sikupata lakini alinitafutia kazi nyingine private sector.
B kama upo humu heshima kwako.....
Kimeumana au sio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alinidanganya sikufanya maandalizi kabisa. Tuko eneo la tukio ndio anauliza kama nina kinga hapo tuko uchi, sikuwa nazo na sikujua kama yuko hatarini. Mzunguko wake naujua ila alinipoupindisha ili asije siku niliyotaka ndio nikaamini makosa. Sasa lawama nabeba mimiView attachment 1972823
Asee ulinipa vitu adim sana... salut kwako... fanya mpango tukumbushieIlikuwa mwaka flani nimemaliza chuo. Katika harakati za kutafuta kazi kuna kazi zilitangazwa serikalini. Ila wakataka anaeapply lazima vyeti vyake viwe verified mahakamani.
Kesho yake asubuhi nikaenda mahakamani nikaelekezwa kwa hakimu kufika nikamkuta hakimu ni mkaka tu[emoji6] nikahisi hakuwa na muda mrefu tangu aajiriwe.
B mhhh namfahamuIlikuwa mwaka flani nimemaliza chuo. Katika harakati za kutafuta kazi kuna kazi zilitangazwa serikalini. Ila wakataka anaeapply lazima vyeti vyake viwe verified mahakamani.
Kesho yake asubuhi nikaenda mahakamani nikaelekezwa kwa hakimu kufika nikamkuta hakimu ni mkaka tu[emoji6] nikahisi hakuwa na muda mrefu tangu aajiriwe.
Huyo hakimu namjua anaitwa Byalugaba ni muhaya amewatafuna wengi sana halafu nasikiaga yuko kwenye gridi ya taifa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ilikuwa mwaka flani nimemaliza chuo. Katika harakati za kutafuta kazi kuna kazi zilitangazwa serikalini. Ila wakataka anaeapply lazima vyeti vyake viwe verified mahakamani.
Kesho yake asubuhi nikaenda mahakamani nikaelekezwa kwa hakimu kufika nikamkuta hakimu ni mkaka tu[emoji6] nikahisi hakuwa na muda mrefu tangu aajiriwe.
Nikaongea shida yangu. Nikamkabidhi vyetu vyangu ili apige muhuri na kusaini. Ila kuna vitu akadai vimekosekana ni lazima nirudi home nikavilete.
Akaniambia anatoka pale ofisini akanipa namba yake ili nikirudi nimpigie aje asaini.
Kweli nikarudi home haikuwa mbali na pale mahakamani. Nikachukua vitu alivyonielekeza then nikarudi eneo la tukio.
Nikampigia kwamba nimerudi na kweli baada ya muda nae akaja ofsini. Akafanya kazi yake. Nikasepa.
Jioni naona akanipigia akaniambia inabidi niende na vile vyeti amegundua kuna kitu amesahau kujaza. Nami ndo ilikuwa mara ya kwanza kuapply kazi na ishu za vyeti kuwa verified sikuwa najua chochote nilikubali kwenda. Alinambia niende moja kwa moja home kwake kwa kuwa muda wa kazi umeshaisha ilikuwa saa 11 jioni.
Akanielekeza nikaenda kufika hakuna cha vyeti wala nini. Tukapiga story, akaweka movie bandika bandua, kufahamiana na bla bla kibao. Alikuwa anaishi peke yake
Kilichofuata ni kuliwa kimasihara nisiwe mnafki nilienjoy sana ile siku. Tuliendelea na mahusiano kwa miaka mitatu. Tukaja kuachana. Japo Ile kazi niloapply sikupata lakini alinitafutia kazi nyingine private sector.
B kama upo humu heshima kwako.....
Acha umamaHuyo hakimu namjua anaitwa Byalugaba ni muhaya amewatafuna wengi sana halafu nasikiaga yuko kwenye gridi ya taifa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]