Mkuu ukifika jehanamu ww utakaa nyuma ya yule jamaa aliye kula kichaa alafu kushoto kwako atakaa yule aliye kula Nguruwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu wewe no hatari.. shukrani pamoja sana
 
Mkuu ukifika jehanamu ww utakaa nyuma ya yule jamaa aliye kula kichaa alafu kushoto kwako atakaa yule aliye kula Nguruwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu wa nguruwe nilitaka nimtaje pia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sema na mtoto alikua amekuelewa tu, hujakutana na pissi kauzu zinakuambia jiue tu [emoji28][emoji28]
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mwamba noma sana
 
Unalia kisa mbunye kweli kuna watu wanashida asee..
 
[emoji23][emoji23][emoji23] imemtokeaga jamaa yangu hii akamwambia kama hunitaki nakunywa sumu demu akaenda kununua ya pacha akampa kwenye pakti dah sitasahau 2010 hiyo jamaa alimtukana sana.
Mwingine alinunuliwa ile ya gundi kwenye karatasi panya akikanyaga ananasa ili akanyage eti anase afe kama panya dah kuna madem wana jeuri😑😑
 
Wewe jamaa wewe daaaah mzee we ni hatari
 
Why hukumlaaa????? Yani ni mbaya kiasi hichoooo... Mwanaume akiwa na nyege hata mwanamke akisema kesho utanipeleka kwenu jibu ni ndiooo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]
Huyu jamaa kwa tukio alilolifanya anapaswa apigwe ban ya week 2 kwa kudhalilisha wadau
 
kmmk hatari sanaaa
 
ni
Mkuu ukifika jehanamu ww utakaa nyuma ya yule jamaa aliye kula kichaa alafu kushoto kwako atakaa yule aliye kula Nguruwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
nitag kwa aliekula mnyama...daaah haha
 
Broo kila mwanaume ana teseka kupata mzigo ni vile hatuadisii tuliteseka wanaume wengi huwa tunaadithia mafanikio pekee,
 
Shigongo bhana
 
Ningeomba sana uzi urudishwe kama ulivyokuwa hapo mwanzoni, maana kwa namna ulivyokuwa hapo mwanzo ndivyo ukivyofanya watu wengi waupende, ila huu uliounganishwa na nyuzi za 2014 hapana kwakweli, Uzi umekosa lile vibe la uzi ule wa mwanzo.

Huu uzi wa sasa nmemtumia mtu majuzi kaishia page ya kwanza tu akaniambia haupo kama nilivyousifia, nilistuka sana na kuhakikisha na ndipo nilipogundua page za mwanzo wameweka post za 2014, comment za page ya kwanza zimechomolewa kwenye maada flaninya 2014 ambayo ilikuwa na wachangiaji wachache, ilidumu kwa muda mfupi sana, ilipotezewa, comments zake hazikuwa na ushawishi, nk

Ningeomba uzi uanzie kwenye comment namba 373, ambayo ndio ilikuwa koment ya kwanza kabisa ya uzi orijino uliopata umaarufu mkubwa kuliko thread yoyote katika jukwaa hili.


Ukicheki tu hapo koment namba 373 unaona comment hii ina likes nyingi sana, uandishi unavutia, comments zinazofata nazo zipo katika mtiririko unaoleta shauku ya kuchangia n.k kuliko comments hizi za nyuzi tofauti za 2014 zilizopachikwa kwenye huu uzi wa sasa

hizo maada nyingine za 2014 ambazo hazikuwa sehemu ya uzi orijino, ingependeza zingewanzishiwa uzi mwengine wa bonus mfano iitwe "Nyuzi zinazofanana na kula tunda kumasihara"
 
Umeboreshwa kulingana na mahitaji ya nyakati
Ah hapana aisee,

Kuna ile ya mwanzo cpmment ya kwanza jamaa karudi chuo ana carry zake 3 ambazo akifeli anafukuzwa chuo ila katika kipindi hicho kaenda kuzifanya akakutana na binti ana sup 2 nae yupo kwenye hati hati ya kuzichomoa πŸ˜‚πŸ˜‚ eh bwana ehh !! si wakapunguziana mawazo kimasihara ,πŸ˜‚πŸ˜‚ alafu jamaa anavyoelezea sasa huchoki kusoma, na comment zilizofata hapo zilikuwa zimeandikwa yani mtu wa mbali akikuona anaweza kudhani kuna kitu muhimu sana unasoma πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa hii mpya wamechukua post za nyuzi za zamani sana za 2014 huko kabla hata huu uzi orijino wa 2019 haujaanzishwa, huko 2014 kulikiwa na uzi kama "unexpected sex" ndio wameamua kuweka koment zake page ya kwanza,

Yani kwanza koment zenyewe hizo za nyuzi za 2014 zina likes chache mno, kiingereza kingi kitakufanya ufunge tu kama hakipandi, uandishi unaofanya mtu asishawishike kuendelea kusoma, comments fupi fupi tu, n.k tofauti na ule uzi orijino wa 2019 yani comments za mwanzo tu zina likes kijiji na zinavutia.

Niliwatumia watu flani hii post nashangaa kesho yake, aliefika mbali aliishia page ya pili, tukaicheki wote nikaona tatizo lilipo, Wamechukua nyuzi za zamani ambazo hata hazikubamba ndio wameziweka mwanzoni, kiukweli nilishangaa


Hata zile koment za mwanzo mwanzo zinachangia sana mtu kuendelea ku scroll, hizo maada nyengine wangezianzishia uzi special wa nyongeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…