Wajaluo hawakeketi, labda ulimaanisha wakulya!?
 
Chai ya kiwango cha English medium
 
Juzi nilikuwa safari kikazi mji mmoja hivi baridi kama lote
Tumefika na watumishi wenzangu mida kama saa 10 jioni hivi
Hatukulaza damu tukaingia mzigoni haina kulemba hiyo
Piga kazi mpaka mida ya saa 3 usiku
Ngoja nitarudi ......
 
Juzi nilikuwa safari kikazi mji mmoja hivi baridi kama lote
Tumefika na watumishi wenzangu mida kama saa 10 jioni hivi
Hatukulaza damu tukaingia mzigoni haina kulemba hiyo
Piga kazi mpaka mida ya saa 3 usiku
Ngoja nitarudi ......
Unazingua.. chap basi
 
Kwa kifupi tu ndugu yañgu...kàma kuliwà uliliwa wewe...
 
Hahahah, shati la Mtoto wa shule ya msingi! Kweli kavimbiwa nyuma Mkuu!
 
Nimemaliza kula ki maskhara sasa hivi. Ndo nakula hadi kesho.
Iko hivi. Tulisafiri kikazi na gari la ofisini mm na dereva tupo runarudi mida ya saamoja hivi usiku tupo zaidi ya robotatu ya safari tulokuwa tumeianza saa kumi jioni kurudi mkoa ninaofanyia kazi. Tukasimama sehem kufanya manunuzi ya vijizawadi vya familia. Mara paaap mschana anakuja kuomba lift tumsogeze mbele kama km20 hivi. Dereva wangu tukiwa lunch aligonga kvant moja na serengeti lite 4 so alikuwa hana nishai ten. So alikuwa amembeba mzee mwingine aliyepanda pamoja na huyu dada.
Basi bwan tumekaribia kumshusha huyu binti dereva akaanza kumkomalia twende naye then kesho apande magari ya kwenda mkoa tuliokuwa sisi, binti alikuwa anataka ateremke hapo ili apande mabasi yanayotoka kule tunakoelekea sisi. Jaa kamkomalia binti mpaka akanyamaza akabaki kulalamika tu nyie vinganganizi. Tumefika akanishusha ofisini nikawasha gari akawa ananisaidia kuhamishia vitu kwenye gari yangu. Mara akaja ananiambia yeye hana kitu hivo hawezi kumuaccomodate binti. Nikasema mambo c ndo hayo bana mm nikamwambia mhamishie kwenye gari yangu. Binti akaletwa na mizigo yake inaelekea ni kama mwalimu wa primary ajira hizi mpya maana yupo ange za 20 hivi. Mm nimepeleka gest sijauliza maswali nimekula mzigo na ninaendelea kula hadi asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…