Acha wivu mkuu, unataka nikuPM nn
Aliyepewa kapewa...
Nilipewa mwonekano mzuri wa kumvutia ( binafsi hata vijana wenzangu mkiwa vijiweni utasikia " Hivi G ulishwahi kataliwa na mwanamke??).
Pia Nina Elimu (Doctor of Medicine) niwambie, Wanawake wanatupenda sana sanaaa zaidi ya saaana sisi Madaktari.
Tatu, nina vijisenti vyangu
Nne, ninajiamin, ni mcheshi, nina lugha nzuri ya kutongoza, na ninajua namna gan yakufanya mwanamke nayemtaka regardless ya "status" yake nimpataje.
Unajua eeh, ninao uwezo wa kukufanya unizoee ghafla, ujihisi umenijua miaka kumi ilopita, kumbe ndo kwanza hata nusu saa haijaisha
Siunaona pamoja nakwamba, umesoma matukio yangu hapa?? Ila siku nikiamua kukuPM, kwa lengo la kukutongoza, UTANIKUBALIA.
sahizi unaweza jivunga.