copernicucci98
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 1,232
- 2,381
Madaba kuna kipindi upto more than 25% ya population ilisemekana walikiwa HIV positive.Aisee mim mwenyew imenitokea hii ilikuwa mwaka 2014,huko madaba songea,tulienda kwa ajili ya kulima maharage,tumefika kule kuna mdada akawa ananizoea sana yaan inafika kipindi anakuja kusaidia kulima kwa rafiki yake na analala huko tulipo sisi maana pale tulikuwa na mdada ndo rafiki yake.
Sasa bhana kuna siku alilala kulekule tunakolala sisi na kule shambani tulikuwa tunalala wote sehemu moja wake kwa waume,sasa yule dada wakati tunalala akawa amebana upande wangu,imefika usiku nilisogeza mkono tuu nikamgusa nayeye akasogea kwangu daah kazi ikaisha aisee sitasahau,siku nyingine tumekutana tunashangaana ivi pale ilikuwaje,haya mambo haya!
Usirudie tena masihara kule