Kwani uzi unasemaje?
 
Chai
 
chai...hii imeanza vizuri ila mwisho tu umeharibu...mkuu nina uhakika unatamani kazi zenye mikutano ipo siku utakutana nazo tu...ila hii chai nzuri sana
Haijui mikutano ya project huyu..anatuletea chai za ******* sana
 
Bado yupo umu??,
 
Ulikosea kustop
 
[emoji16][emoji16]watakuta uji
 
Ahadi ni deni!!

Jinsi nilivyomla moderator wa JF kimasihara.....

Picha linaanzaa ilikua ni kipindi cha pasaka moja hivii Niko kibaha stend pale stend mpya nasubiria Ngilisho exp ili niende zangu marangu kula sikukuu na kunywa mbege na wazee pale lyamrakana. Mara paap basi hili hapa. Nikazama ndani ile nimeenda kukaa nakuta kwenye siti ile 2 in 1 kuna pisi moja.. sura ya kawaida ila Ina mzigo wa wastani. ( Ndio mizigo ninayoipendaga, sipendi mabonge Sanaa au chelewa sanaaa) nikakaa alafu nikamsalimia.... Mrembo mambooo.... Akaniangalia alafu akaitikia huku akitabasamu. Safari ikaendelea kama kawaidaaa.... Haooo..... Ile tumefika ruvu nikaanza kuingia kwenye social media moja baada ya nyingine kupitia kwenye kitecno changu. Mara niingie fb nitoke nizame twita nimcheki kigogo na kamba zake. Baadae nikaingia JF.... ( Kwa jicho la wizi nilikua naiona ile manzi niliyokua nimekaa nayo inachabo ninachokisoma kwa wizi wizi...) Basi nikabaki JF Kama lisaa hivi nikihama jukwaa hadi jukwaa.. haya majukwaa ya kishetani shetani ndio nayapendaga. Mwisho usingizi ukanipitia . Nakuja kushituka tupo segera.. nikamuuliza jirani yangu kwa kumpima vp mamitooo tuko wap hapa....( Lengo ni kumchota ili nijue kama ni mwepesi kuingilika) akaniuliza yani wewe na ujanja wote unazama Hadi JF hujui hapa ni wapi?? Huku akicheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] akaniambia acha utani tupo segera. Nikamwambia ahsante kwa jibu. Basi kuanzia hapo stori za hapa na pale ziliendelea pamoja na kufahamianaa..... Ile tunaingia korogwe tuu gari ikapata breakdown ikabidi tushuke watengeneze..... Ile tumeshuka tukatafuta sehemu tukakaa stori zikaendelea... Hapo ndio nikamuuliza vp umejuaje kuwa Mimi ni mjanja hadi ukajua natumia JFORUM?? akacheka weee alafu akanijibu kuwa si alikua ananiona nikiperuzi hukuu....

Stori itaendeleaa........
 
huna issue chai nyingi sana, kwa wanaojua mambo watanielewa
 
Mkuu wewe ni malaya [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajikuta mwenyewe...
 
Mweeeeeh
 
Semester sio semistor
 
Reactions: _ly
Labda utangulize muamala wa kueleweka, ila siyo kwa porojo hizo na kujimwambafai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…