rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,622
- 9,036
kwanza ni usela wa kizamani kumkimbia demu, Kama mlikubaliana mtoe chake kiroho Safi. Wana visasi sana hawa wanawake.Sio poa kabisa. Haya mambo, ni vyema mnamalizana, kila mtu anaondoka ameridhika. Hii dunia ndogo sana, huwezi jua mtu mnakutana wapi.
Kuna kisa kimoja. Kuna siku nilikuwa Bundesliga pale Mwanza. Kuna demu kamuanzishia vagi jamaa, demu anasema jamaa alimtmba halafu akamkimbia bila kumlipa. Jamaa alikuwa na watu amekaa nao. Ilikuwa embarrassment mbaya sana.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app