Baba wa Mapaka
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 1,828
- 1,662
Ndugu, mabibi na mabwana katika Imani
Waislam wenzangu naomba mpitie hii video kisha mchukue hatua juu ya zinaa , mchukue tahadhari juu ya kueneza machafu ambayo mmekuwa kwa namna moja au nyingine mkiyafanya bila kujua au mkiwa mnajua ila kwa kupitiwa au sahau au .....napenda kuwausia na kuiusia nafsi yangu juu ya kumuogopa Allah, kuogopa adhabu za Allah....