Leroy Tiyane
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 279
- 410
tupe namba basi mabahariaHamna... Tulikuja kupotezana..
tupe namba basi mabahariaHamna... Tulikuja kupotezana..
Sero gani mnachanganywa na wanawake, hii chai ya ilikiAisee hii kimashara ndani ya lock up za Central Police Dar es salaam
Kwa wale ambao walishawahi swekwa ndani ya kituo cha Central jijini Daslam watakuwa wanayafahamu mazingira ya ile rock up na cello zake mule ndani yaani chini kwa chini iyo ukifichwa ndani ya Central utakuwa unasikilizia kelele za gari zikipita huko mtaani
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 madereva wa Yutong sio. Majimama ni mpaka uyajulie. Kuna mambo ulikosea sana technically. Safari nyingine omba ushauri kwa sisi wazoefu ambao tangu tubalekhe kazi yetu ni kuendesha haya ma YuTong tu. Pole sana
View attachment 1750278
Vunga basi mwanangu🤪🤪Dah! Usimfanyie hivyo mwenzio.
MkuuVunga basi mwanangu![]()
Niambie ChiefMkuu
Kwema nduguNiambie Chief
achana nae huyoMkuu ulishawahi ingia Central au unayafahamu mazingira yake?
Kwema kabisa Chief..naona unajiuguza huku ukijiburudisha na uzi wa kimasihara...safiKwema ndugu
Kwema kabisa Chief..naona unajiuguza huku ukijiburudisha na uzi wa kimasihara...safi





Lee umecheka mnoo yani
Bwana wa majeshi asimame😭😭😭😭
Kaka utafanya uzi ufungwe .... Hii ni child abuse atleast ungeficha sura...
Ile ipo kwenye uzi wa mazingira gani uliwahi kufanyia mapenziComment #3746 ndiyo comment ya jamaa aliyekula kichaa. Ya yule aliyekula nguruwe ni comment namba ngapi? Rikiboy mbingu hutaiona kwa huu uzi wallahi![]()
Kuna watu wamepinda sana. Nguruwe dahIle ipo kwenye uzi wa mazingira gani uliwahi kufanyia mapenzi

HeheheheKuna watu wamepinda sana. Nguruwe dah![]()
Huyo wa nguruwe ni namba ngapi kaka?Ile ipo kwenye uzi wa mazingira gani uliwahi kufanyia mapenzi
Ni uzi tofauti na huu mummyHuyo wa nguruwe ni namba ngapi kaka?
Okay thanksNi uzi tofauti na huu mummy