Hapo Doha unakula burger?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Huyo mwanaizaya aliyekula nguruwe najiuliza ujasiri wa kupiga kitoweo chini alitoa wapi na ana nguvu kiasi gani huyo bwana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji114][emoji114][emoji114]
Hii ni roho ngumu sana mtu huyu anaweza kunya hekaluni
Sidhani kama ni kwenye huu uzi..alikula kitimoto ni kwenye ule uzi wa ''Mazingira gani hatari ulihawahi kufanya mapenzi''
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu jaman khaaaaah
 
Muambie ukweli huyooh, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah hama malaika yalimuita huyo Bro wako aje kuokoa jahazi kabla halijazama maana kama ninavyokuona hukuwa na ndomz hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
umeona eeeh... na inawezekana amefunga na vumbi la Congo kabisa πŸ˜€ πŸ˜› πŸ˜… πŸ˜€ πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜… πŸ˜… πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…