Mkuu unatutisha
[emoji23][emoji23]fact,
wale majamaa wanamaumbile makubwa afu marefu mno.

Akipita mkongomani,
Kama Uko below 7inches, lazima hup mzigo kwako uwe ni oversize.

Utapwelepweta afu Mwenzio atakuona Kibamia tangu siku iyo[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Aiseee... hiyo aina ya marafiki zako tells more of what u people u are.

Sasa endeleza michepuko iko siku mke atakufurahisha. Si umeona ameside na wewe eh? Iko siku utafurahi.
Nakusisitizia juu ya hao marafiki zako. Mbona una marafiki was..engerema hivyo? Yaan unatoka kituoni na mkeo yupo bado wanakuita? Kmmk zao. Wateme watakugharimu. Kuna siku hutawaona kwenye majanga yako
 
Na mimi nimefika hapa, kumbe alisema michepuko haachi hehehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…