DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,312
- 109,412
Mmh wee acha tu mkuu.Hahaha, Pole..
tafadhali sana kama hutojali tushee-e ilivyokuwa..!!
Apa sio pa kumwaga ulezi, njiwa ni wengi mno.
Ntachambuliwa mno na wenye misimamo yao.
ila maamuz niliyofanya hata siyajutii kwa maana yamenijenga zaidi kimahusiano.



