Expert Judgement
JF-Expert Member
- May 29, 2019
- 441
- 742
Asante kwa wazo la sandaka ya shukrani hili nimeshalifanya nanitaendelea kulifanya kipekee sana niliiona niwasaidie nisiowajua kwa kuchangua damu ktk hospital zetu1. Unapaswa kutoa sadaka ya Shukrani umeokoka.
2. Ulijiivika bomu (pasipokujua au kwa kujua) kwa muda wote uliokuwa naye pamoja na uwezekano wa kuambukizwa kwa njia ya sex, mtu mnaishi naye pamoja kwa Mazingira uliyoyaelezea, ana kuwa namna nyingi sana za kukuambukiza kwa makusudi au pasipokujua.
3. Tahadhari uliyotoa ni ya muhimu. Tuendelee kuzingatia.
Kuhusu kuambukiza makusudi angekua amevuka viwango vya ubinadamu na kuwa mnyama maana km mm tu sukuwahi kumwambia mtu yeyote hata ndugu zake kuwa anangoma, hapa jukwaani hakuna amjuae naamn Hilo