wakuu natumaini kuwa nyote ni wazima wa afya tele ,twende moja kwa moja kwenye topic.
ilikuwa Jana nikiwa wilayani kahama mkoa wa shinyanga nikitokea kigoma kwenye biashara zangu,nkaamua kuchukua chumba kwa kuwa ilikuwa jion na nilikuwa na shauku sana ya kulala hapo kahama maana ni muda sana tangu 2013.
basi bwana ilifika jion nkajisogeza kwenye bar moja inaitwa MAASAI CLUB kwenda kupata moja moto moja baridi,nikiwa natiririka na bia zangu moja baada ya nyingine c akapita mdada flan ivi mkali shombe shombe wa maana,na vile mfukoni nilikuwa fresh nkajisemea uyu hawez kuruka akiruka ameanguka,bas kama kawaida ya wanaume nkamwita nkaweka verse (zile verse znazokuwaga hot pindi bia zimekolea kichwa),dem akajaa nkasema lazima uyu dem nipite nae,dakika kadhaa mbele nikarudi nae sehem nlokukuw nmechukua chumba,ase nlikula vyombo ad asubuh dem nkampa 15k akaniomba na namba yangu nkampa akasepa,mchana ilifika Niko napata zangu lunch huku naendelea kusoma Uzi wetu pendwa wa kula tunda LA kimasihara nikataka kuweka kisa changu sema nikaona hakihusian saana na mada mana mim nlifanya kununua,ile naendelea kusoma comments nkaona sms inaingia namba ngeni ikisomeka hivi
😀AA WE MKAKA UNAJUA MAMBO SIJAPATA KUONA,ILA ULIKOSEA SANA KUTUMIA CONDOM ZA ULIZOKUWA NAZO KWENYE WALLET INAONYESHA NI ZA MUDA MREFU ,ILICHANIKA NKAKUACHA TU MANA NILIKOLEWA NA RAHA,KACHEK AFYA KWA MANUFAA YAKO".baada ya kusoma mwili ulikufa nganzi nikasema Baharia baada ya miez ndo six pack zangu zitakuwa vidonda ,nkaingia chap jamii forums ili niombe ushauri nakutana na Uzi tena unazungumzia maswala ya UKIMWI nkauskip,nimeshatoka hospitali nmepima kwa kutumia unigold nko fresh ila nmepewa PEP za siku 30,
NIMEPANGA NIKIZIMALIZA NAANZA KUSALI NA NIOMBE KABISA UZEE WA KANISA
*nimenunua biblia
*madem zangu nimewablock
*nimeanza kuimba na kulisifu jina la mungu
*Leo kuna dem niliyemfukuzia miaka na miaka alitaka kunipa tunda nimekemea hilo pepo had mate yakakauka
(Baada ya jamaa kunisimulia mkasa wake nimeona na mm nije kushare nanyi.
Sent using
Jamii Forums mobile app