cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,371
- 188,081
Watu hawajui vizuri kuhusu kufumaniwa, yaan hata uwe mjeda ukiwa ktk kufumaniwa unakua mdogo km priton.Huyo huyo alikuwa anamgongea jamaa mmoja tena ndani ya nyumba ya jamaa. Siku ikafika mwenye mke akapata nyepesi kuwa kigogo anamtafunia jamaa akasuka mpango waziri akajaa. Waziri alihaha hatari hata kuitumia bastola alishindwa
Sent using Jamii Forums mobile app