Mwaka 2000 mwezi wa 12 nilikuwa natoka Mtwara kuja Dar, wakati huo mvua tayari ilikuwa imeshaanza kunyesha so barabara ilikuwa mbovu sana. Lakini mwisho wa siku tulikuja kukwama Rufiji mtoni wakati huo hakuna daraja, mto umefurika so pantoni haiwezi kufanya kazi kwa namna ile. Ilikuwa saa kumi na mbili hivi jioni niliangalia mandhari ya pale nikajisemea tu 'Bora kufa nimesimama kuliko kufa kihoro nimelala' navuka na mtumbwi potelea mbali.
Hakuna aliyenisapoti miongoni mwa abiria wenzangu but kuna kabinti kakawa kanasita sita abaki au aungane nami!! Jamaa wa mtumbwi alipokuja naona na binti ananishika shati, ananiambia tutakufa wote but hapa siwezi kulala katu.
Tukavukia upande wa pili, ambapo maji yalijaa karibu na Ikwiriri so tulienda kwa miguu tu na bahati mbaya kufika pale hakuna mabasi ya kwenda Dar isipokuwa ni pazuri kuliko pale mtoni tulikotoka.
Tulipata kagesti fulani hivi tukalala hapo, nilikatafuna kale kabinti bila bughudha usiku kucha! Kesho yake saa kumi na mbili tupo garini kwenda Dar na hatukuwahi kuonana wala kuwasiliana tena.