Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,548
- 10,299
Toa namba za mkeo halafu uje unifumanie, halafu uone nitakachokufanya!Mnajidanganya sana anyway subiri wakati ufike halafu uone kisu au bisbis kama itakuja kuwa msaada.
Dogo waziri mzima pamoja na kuwa na bastola lakn haikufaa akawekwa mtu kati mpaka polisi ndio walimuokoa. Ww unaongelea kisu na bisbis. Hahahaa hujakutana na shababi
Sent using Jamii Forums mobile app




