Toka hapa uongo tyuuh, ki masikhara mnawaokota hawa wa vyuoni. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu tumekula kimasikhara mpaka wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama ila hatusemi kwa sababu za kiusalama, kula sana wayahudi, masadukayo, waebrania, tanapa, mabaharia wa kike, wamasai na kila kiumbe chenye pumzi na jinsia ya kike ila tunaogopa kusema hadharani kwa sababu tutaonekana tuna elements za abnomalities
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jaribu uone utakavyojamba bila utaratibu maalumu wa wizara
Dia mjukuu Joanah...Nimeishia hapo alipoandika "Ni stori ndef ila ntajaribu kuifupisha kadri ya uwezo wangu"
Dia babu Asprin naomba summary
Sijawahi kuwa ki masikhara, kwangu huwa ni serious tyuuh.Tusimulie kimasihara yako, it must be awesome[emoji847][emoji847]
Ndo uache tabia mbaya, kuchepuka kunaleta mikosi katika maisha
I bet you have some, Ila ndiyo umechagua kutosimulia tu 🙌Sijawahi kuwa ki masikhara, kwangu huwa ni serious tyuuh.
Nnapokuepo,
Mda mwingi anakua ni mama wa nyumbani,
Ila mara kwa mara nnapokua nmesafiri au Niko bize sana, anashika usukani kusimamia miradi yetu ya hii ujasiliamali100%.
Sent using Jamii Forums mobile app
ASANTE kwa herufi kubwaAlafu kuna ng',ombe utaisikia inasema olewa uepuke stress na magonjwa
(Bonge la mtusi)
Kwanini??Wewe, mkeo na mchepuko wako Wote hamna akili.
Lete story nzimanzima kama ilivo ili tupate mauzoefu kutoka kwako fundi.Jana na mimi nimekula kimasihara....ila ni kama yule mshenzi alikuwa ameniwekea mtego tu siku nyingi[emoji28][emoji28]huenda mimi ndo nimeliwa kimasihara na mwanamke mmarangu yule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa ni nyoko kinoma.Jaribu uone utakavyojamba bila utaratibu maalumu wa wizara
Wala hata yaan.I bet you have some, Ila ndiyo umechagua kutosimulia tu [emoji119]
Hata wewe utakua na sifa kama za shemeji yetuHongera sana mkuu! Mke umepata
Dawa Ni kumchana live, ukimchekea anakupanda kichwaniMi kuna mchepuko unataka kulingana kama huo wa kwako... Wa kwangu mimi ulikua hautaki hata nimtaje mke wangu. Yaani kwamfano wife akipiga sim tu kosa nisipokee kisa tupo wote. Nikaona huu ni uzwazwa nikamchana live.