Mindset tu hiyo usiwe mtumwa wa fikra hizo, mbona wanaume wengine tumeweza mzee kuishi bila kuchepuka, jambo lilote huanzia kichwani na ndiyo mwili anajibu mashambulizi, badilisha fikra hizo
Mshukuru mungu kwa hilo, mi nilishajaribu nimeshindwa kabisa.

Labda kipind nikiwa Sina hela.

Ila iyo ndio starehe yangu zaidi, napenda Sana kujaribu vitu vipya vipya Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hata ww.....
mm nikiingia choni tu bahati mbaya akapiga missed call moja tu.....
atanuna wiki tatu
 
Ongeza nakshi kidogo kama ndugu zetu wa moslem ...jamaa ana wife mwenye hekma
Namshkuru Sana wife.

Mambo Kama haya ndo yananikumbusha ule msemo wa mkubwa wetu humu Jokajeusi kua na Mimi pia Ni miongoni mwa wanaume tuliooa wanawake bora kabisa wa maisha.

Kwa maana nilimkuta sealed kabisa Miaka iyo nakimbizana na ujana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya kuigiza igiza Hadi lini?...
 
Mie nashauri kila akikusogelea uendelee kumzaba vibao huyo mchepuko hadi akusahau....aacha kufananisha ndoa na vitu vya kijinga.... hahaha
 
Umeongea point Sana mkuu[emoji26]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hata ww.....
mm nikiingia choni tu bahati mbaya akapiga missed call moja tu.....
atanuna wiki tatu
Si mchezo. Ila dawa yake niliishi kama yeye sms za kusema aendelee na umalaya nikikuta simu inatumika nawaka vibaya. Amenyooka kiasi chake siyo kabla sijapiga hilo igizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…