Kimasihara ukakosa tunda

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
Nice story, u can meet anyone anywhere.... Watu huwa tunacomplicate tu unnecessary... Hongeren.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]iliwah kunikuta siku moja beki 3 wa broo kanitukana mbele ya mafundi home aisee nlijuta
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanajikutaga matawii saa nyingine hawa kenge... hasa ukute bro nae alitupia kamba hivi

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Lengo la kunywa chai wakati unaenda kujiua muda huo huo lilikua nini mkuu? Au ndio hukutaka kuondoka ulimwenguni ukiwa na njaa[emoji28][emoji28][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hata Mimi nashangaa! Au alitaka afanye safari ya mbinguni akiwa ameshiba, akifika huko asiwasumbue wenyeji wake na njaa...
 
Wadada / wanawake wakielezea namna waliliwa kimasihara baadhi yetu tunawashambulia kwa maneno makali nadhani hii ndio sababu miongoni mwao wana simulizi lakini wakiona namna wenzao waliopost wanavyoshambuliwa wanaamua kupotezea simulizi zao.
Kwanini mwanaume akila kimasihara ni sawa lakin mwanamke anaonekana sio? Hii sio sawa
 
nimeanza kusoma uzi sa tano nimemaliza sa saba ....masihara yadumu milele...
 
Nimeenda kikazi Loliondo, nimefika kilodge nacho lala pale kuda dada mmoja wa kimasai/kimbulu, kanihundumia fresh, nikapata rum nikaseto, jion nikatoka kwenda kukaa sehemu na mwenyeji wangu wa kule tupige stori nijue kazi nafanyaje ili keshokutwa niondoke, wakati natoka lodge tukabadilishana namba za simu na yule sister ili kama kuna lolote anijulishe sababu pale lodge niliacha my valuables na nilikuwa sipaamini kivile. Kesho yake kazi ikaenda fresh keshokutwa natakiwa niondoke, siku niliomaliza kazi nikarud pale lodge mida ya mchana, nikamkuta tukaongea kawaida tu nikamwacha nikaingia rum, jion sasa nikatoka tena niende sehemu nikale , nikamwaga fresh nikarud mida ya saa nne usiku nikakuta yeye anataka kusepa na hela yake ya siku hiyo sijamlipa, akasema nlikuwa nakusubir wewe then me niondoke makake kesho yake naamsha asubuh sababu magari ya kule kwenda arusha yanatoka saa kumi na moja.

Nimekula maji kidogo namwangalia namwona mzuri japokuwa sio mbaya kivile ila mweupe sana , nikamchomekea me naogopa kualala mwenyewe yan kitutani tu nkamwambia njoo tulale wote akasema ngoja kwanza niende nikawaangalie watoto nyumbani, akaenda, nimelala saa tano napiga simu kinapokea kitoto chake daah, alafu kinachoongea sikielew, huyu mwanamke akapotezea mazima nkaamua kulala, mida ya saa kumi ivi nashtuka, kidogo simu inaita, kupokea yule mwanamke, ananiambia nlisahau kukupa sijui sabuni ngoja nije, nadhani hakai mbali na pale, kaja kanipa sabuni akasema nna usingizi naomba nipumzike kidogo, kaingia ndani, nikafunga mlango nikala vyangu nikaoga nikampa hela kidogo nlimwonea huruma nikaamsha sijui jina lake, sijui nini..sijawah kwenda loliondo tenaa. KIMASIHARA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…