Ulishawahi kula tunda kimasihara?
KIMASIHARA GOES WRONG[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]




Enzi hizo naishi kwa bro wangu morogoro yani Aisee acha tuu kiukweli ni noma sana ukichukulia kila mazingira unaweza kulaa tunda yani kuna Point unaweza haribu kazi yani mpaka ukajuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kiukweli wadada wa kazi ni changamoto sana yani hawakai kabisa unampata leo kesho anaondoka na kiukweli huwaga sina tabia ya kuwa na mazoea na wadada wa kazi kabisa wakiondoka ni kwa sababu zao tu sio kwamba Nimewatongoza hapana. Lakini kuna kipindi kwa bro alikuja beki tatu jamani hapanaa Ilibidi tu nimuulize bro imekuwaje kapata Beki tatu shombeshombe au ni Mchepuko wake??? Bro akasema hapana bhana huyu shida tu za maisha zimemleta hapa maana hata kumpata nilimpata Mtandaoni... Yule dada ni mnyamwezi ila ana asili ya ushombeshombe ni mweupe hasa na unywele wa kiarabu hivi sasa bhna kumbe kaja kufanya kazi za ndani bhasi tuu sababu ashahangaika sana na maisha ila sio kwamba anapenda.


Picha linaanza anaomba namba yangu mimi nikajua hapa tayari tukawa tunachat sijui vip nikuachie chakula mara leo unakuja kula mchana??? Mmmh nikasema huyu nishamlaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Siku hiyo bro na shem walitoka pamoja na mtoto wao mimi nimerudi namkuta beki tatu mwenyewe aisee si nkasema hii ndo nafasi. Nikamfata alipokuwa anapika nikamshika kwa nyuma aisee alishtuka me nkamwmabia usiogope ni mimi akasema why unanishika??? Nkasema nlikumiss eehe nkashangaa anasema pumbavu sitaki mazoea ya kijinga[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] Duu nkasema leo vimeumana dada wa kazi ana confidence kiasi hichi sikuamini wakuu ikabidi nimuombe msamaha. Lakini nikashangaa ameingia chumbani ghafla nikajua labda nimfate nimbembeleze wee nmafata nakuta amebeba begi lake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ooho yupo serious anataka kusepa yani. Kiukweli nikajua huyu demu hii kazi aliichoka sema mimi ndo chambo nkamwambia bhasi subiri kaka aje umuage akasema Alidhani anakuja kufanya kazi za ndani kwa amani kumbe hamna tofauti na kujiuza kiukweli nilijisikia vibaya. Nikatoa hela nimpe akarusisha.. Ikabdi nimpishe apite akasepa zake bro na shem wamerudi wanashangaa mtu hayupo wakimpigia wamuulize nini shida akawaambia waniulize mimi mamaeee... Shem alimind sana yani maana anahangaika kupata wadada wa kazi kumbe mimi ndo chanzo wanasepa lakini sio kweli yule fala ndo aliniharibia[emoji3][emoji3][emoji3] Bro alionekana amemind sana ila baadae baada ya shem kusepa alicheka sanaaa yanii akasema nilijua tu demu mwenyewe sio level za beki tatu hasa kwa familia zetu za kibongo hizi so sio Kesi.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Kimasihara ukakosa tunda

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
NILIVYOMLA KIMASIHARA ASKARI WA KIKE WA IDDY AMIN KATIKA VITA NA UGANDA ...
Mm sio muhadithiaj mzur lakin nitaeleza tukio livyokuwa kidgo stay narudi.....
[emoji477]
giphy.gif
 
Huu uzi shikamoo
Watu wanajilipua tu

Ngoja na mm nilete yangu nilivyoliwa kimasihara
Mama bahati kaa mbali na comment yangu[emoji23][emoji1430] Au bado anatumikia ban


Mwaka jana mwezi wa 7 tar9 nimemaliza zangu chuo nipo tu nyumbani idol idol, basi tukapanga na rafiki zangu wawili tuliomaliza chuo wote tutoke (jumla watatu) tukaenda TIPS
Kufika tukala tukanywa pale kuchangamsha akili bwana bwana kucheki getini namuona mkaka mmoja mdhuriii kiasi chake mrefu mweupe kiasi nikasema yes[emoji23][emoji23] bahati nzuri tulipokaa pembeni yetu kulikua na mkaka mmoja kumbe ndio aliemfata
Basi tukawa tumekaa wote jirani mara wakaomba tukae nao Mungu sio athumani na yule wangu akakaa na mm story pale zikanoga

Tukahama tukaenda bascar lavida kufika mida ya saa8 tukawa tunaondoka ikabidi watupeleke home wale wenzangu wawili wanakaa mtaa mmoja na mm mbali nao kiasi
Mm nikaondoka na huyu wangu

Basi tukiwa njiani plus vile vinywaji makiss matachi kma yote tukajikuta tupo lodge🤭 kwanza tulianzia kwenye parking za bascar pale uwanjani kigiza kile tulikifaidi

Aisee nilienjoy balaa hata sikuwaza kma naliwa kimasihara ila tulitumia kinga

Basi from there tukawa wapenzi na leo tumefikisha miezi6

ila tulivyoanza a serious relationship nikawekewa conditions za kutokutoka na kuwacrop wale marafiki zangu

Nikitoka tupo wote, sijui ndio anaogopa nisiliwe kimahisara


Nampenda ananipenda hopeful tutatimiza malengo yetu japokua tulikutana na kulana kimasihara sana

Happy 6months to us
Nice story, u can meet anyone anywhere.... Watu huwa tunacomplicate tu unnecessary... Hongeren.
 
Wadada / wanawake wakielezea namna waliliwa kimasihara baadhi yetu tunawashambulia kwa maneno makali nadhani hii ndio sababu miongoni mwao wana simulizi lakini wakiona namna wenzao waliopost wanavyoshambuliwa wanaamua kupotezea simulizi zao.
Kwanini mwanaume akila kimasihara ni sawa lakin mwanamke anaonekana sio? Hii sio sawa
 
Nimeenda kikazi Loliondo, nimefika kilodge nacho lala pale kuda dada mmoja wa kimasai/kimbulu, kanihundumia fresh, nikapata rum nikaseto, jion nikatoka kwenda kukaa sehemu na mwenyeji wangu wa kule tupige stori nijue kazi nafanyaje ili keshokutwa niondoke, wakati natoka lodge tukabadilishana namba za simu na yule sister ili kama kuna lolote anijulishe sababu pale lodge niliacha my valuables na nilikuwa sipaamini kivile. Kesho yake kazi ikaenda fresh keshokutwa natakiwa niondoke, siku niliomaliza kazi nikarud pale lodge mida ya mchana, nikamkuta tukaongea kawaida tu nikamwacha nikaingia rum, jion sasa nikatoka tena niende sehemu nikale , nikamwaga fresh nikarud mida ya saa nne usiku nikakuta yeye anataka kusepa na hela yake ya siku hiyo sijamlipa, akasema nlikuwa nakusubir wewe then me niondoke makake kesho yake naamsha asubuh sababu magari ya kule kwenda arusha yanatoka saa kumi na moja.

Nimekula maji kidogo namwangalia namwona mzuri japokuwa sio mbaya kivile ila mweupe sana , nikamchomekea me naogopa kualala mwenyewe yan kitutani tu nkamwambia njoo tulale wote akasema ngoja kwanza niende nikawaangalie watoto nyumbani, akaenda, nimelala saa tano napiga simu kinapokea kitoto chake daah, alafu kinachoongea sikielew, huyu mwanamke akapotezea mazima nkaamua kulala, mida ya saa kumi ivi nashtuka, kidogo simu inaita, kupokea yule mwanamke, ananiambia nlisahau kukupa sijui sabuni ngoja nije, nadhani hakai mbali na pale, kaja kanipa sabuni akasema nna usingizi naomba nipumzike kidogo, kaingia ndani, nikafunga mlango nikala vyangu nikaoga nikampa hela kidogo nlimwonea huruma nikaamsha sijui jina lake, sijui nini..sijawah kwenda loliondo tenaa. KIMASIHARA...
 
Back
Top Bottom