AMBAVYO NIMEMLA KIMASIHARA MPANGAJI MWENZANGU LEO 13/2/2021
NAANDIKA KISA HIKI NIKIWA NIMEJIFUNIKA PAZIA BADALA YA SHUKA, utaelewa kwanini huko mbele...
Pia mtanisamehe ikiwa kutakuwa na typing errors katika kisa hiki maana huwa sina kawaida ya kupitia nilichokiandika.
Ok tuendelee.
Leo tar 13/2/2021, baada ya Jana Simba kunifurahisha nikaona nijipe likizo ya siku 1 nisiende kazini.
Asubuhi nikaona nifanye usafi, wa kufua nguo na kusafisha geto. Nikanunua sabuni, nikaloweka nguo (nguo Kama zote mixer mashuka). Baada ya kuloweka nguo, nikaona nifanye usafi wa kusafisha geto mixer kudeki.
Baada ya kumaliza kufagia, nikataka nideki ila nikakosa dekio (of course sinaga dekio, nayegemea la wapangaji wenzangu. Nikaamua nianze kufua.
Nimefua Kama dakika 15, wingu zito likatanda. Baadae kidogo bog la mvua Hili hapa. Nikaahirisha kufua nikazama geto kulala. Mvua imenyesha Kama saa 1 hivi (SAA 5-6 mchana) ikapunguza.
Nikakaa mlangoni nikaanza kufua. Sasa wakati nafua, mpangaji mmoja (wa kike) akatoka. Baada ya muda kidogo, mama mwenye nyumba nae akatoka na wageni wake akawa anawasindikiza. Nikabaki mwenyewe pale nje, na huyo mpangaji mwenyewe aliekuwa amebaki ndani
Kama dakika 2 mbele akatoka, akaanza kunisemesha
YEYE; P kazi ya kufua ni ngumu mno
MIMI: Yaani noma Sana, kwaiyo unashauri nini?
YEYE: Uoe!
MIMI: Hapo hapana, labda uhamie humu kwangu tuish wote!
YEYE: Akacheka.
Basi akasogea karibu na pale mlangoni nilipokuwa bafulia. Nikaendelea kumtania aje kunitembea kwangu ndani akasema hapana kwa sababu kesho ana safari, halafu anaumwa (period), kumbe muongo! Akasema labda akirudi atakuja ndani mwangu. Nikamwambia Aingie basi japo dakika 1, akasema haoana, Basi tufanye usiku!! (Ameshanasa)
Nikamuuliza Sasa usiku itakuwaje? Akasema nitaenda ndani mwake! Nikatoa pendekezo, au tukuchukue chumba guest? Akauliza tutalala? Nikamwambia tutaenda jioni saa 11 turudi usiku 3/4 akakubali.
Nisiwachoshe msinichoshe..nimefua nimemaliza, nikaanika ila manyunyu Hadi Hadi kesho


, imefika SAA 11 nikampanga akasema yupo tayari, nikatangulia akaja.
Nimemtafuna viwili Aiseee!!
Nguo hazijakauka, net haijakauka, mashuka hayajakauka!! Nimejaribu kujifunika khanga niliyopewa na ex naona mbu wananitwanga
Hapa nimevaa jeans, shati, gloves mikononi, soksi minguuni na nimejifunika PAZIA