Nenda kwa mpangaji mwenzio ukalale huko unakwama wapi😂
 
Mwanangu we niombee tu kale kadogo kamenipa sumu nikiwaona wa size yake mwili unachemka
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hii mbaya Sana ..halafu sijui inakuwaga aje yaani ukitembea na jimama Basi unakuwa unasumbuliwa na mimama tu...ukitembea na vitoto pia inakuwa hivyo hivyo Daahh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Aisee [emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yaani umeshatomba halafu unatuambia sie tujitafakari ... Brother mind your own business tuache tufaidi mema yanchi
 
Duuuuhh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3] incidence nyingine hizi daahhh [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
ndo maana kila siku nasema ntakosa nyumba ila gari lazma,ntalala njaa ila perfume ya gharama ntanunua.katika watu wanaopenda kunukia nukia na kuning'iniza funguo na mm nimo.
Mimi napenda kunukia lakini kuning'iniza funguo sipendi
 
NILIVYOMLA KIMASIHARA ASKARI WA KIKE WA IDDY AMIN KATIKA VITA NA UGANDA ...
Mm sio muhadithiaj mzur lakin nitaeleza tukio livyokuwa kidgo stay narudi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…