Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,894
Achana na kimasihara yani hata ya makubaliano tu bado siipati ngoja tu niwe msomaji
Wadada huwa naturally attracted Kwa wapiga vinandaKuna mpiga kinanda mmoja namjua kala sana Wanakwaya wenzake ,wanafunzi ,mademu wa kitaa ,Jamaa kawatindua sana
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Huu ndio ukweli wote.Mazingira Ke ndio huyaweka. Ukweli ni kuwa kula kimasihara ni Ke ndio huamua. Akiamua kukaza anakaza kweli hususani akiwa hajakupenda.
Sasa ww mtu unampenda akikutomasa tu unapata kahisia flani amazing[emoji3] nguvu ya kumuweka kofi utaitoa wapi.
Ndio maana wengi kwenye story wanakwambia wakija kuweka wanakuta mtu siku nyingi alishaloa. Ina maana alikuwa anahisia nae mapema tu vile kumwambia nataka uninanii hawezi.[emoji23][emoji23]
Na hawa wa makampuni ya Bima.Hakuna mdada warahisi kawa hawa wa bank, nipo ndani 10 years nacooperate nayo kazi ninazofanya, yaani utapiga mpaka uchoke, tatzo jamii au wanaume wanawachukuliaje au wanawaogopa kumbe tofauti
Hujamaliza kusoma huu uzi.Hamnaga ata mmoja aliyegonga ng'ong'ozo ndio nashangaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatushindani lakini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah basi mie bado sana kwenye game la kugegedana
Comfort zoneNiliwahi kujishikiza katika ofisi moja ya Mtanzania mwenzetu, baadaye nikapata kazi ya uhakika hivyo ila ikabidi nitoe taarifa za kuacha kazi.
Baada ya mazungumzo na mwenye ofisi akaomba nitumie walau wiki mbili kumwelekeza na kumkabidhi kazi mwajiriwa mpya ambaye alikuwa binti.
Zoezi la kuelekezana kazi na kukabidhiana likaanza.
Ijumaa ya wiki ya kwanza binti akashauri kwamba kama nina muda basi tukutane weekend ili tuelekezane vizuri.
Sikuwa na kipingamizi, binti anapendekeza aje kwangu ila nikakataa maana mazingira niliyokuwa naishi huko uswahili ikifika weekend ni muziki tu.. Hivyo tukakubaliana mimi niende kwake.
Jumamosi mapema nikafika alipopanga huyu binti baada ya kuscan mazingira, nikauliza shemeji yupo wapi? Binti akacheka kisha akajibu "hamna shemeji hapa, wanaume wenyewe wa siku hizi majanga tu.
Tukaelekezana pale mpaka muda wa kula, binti akaandaa msosi nami nikakaribishwa mezani. Balaa likaanza kwenye kuninawisha, binti akaninawisha kama mtoto, yaani anakumiminia maji huku mkono mmoja anakuosha viganja vya mikono, nimepigwa na butwaa binti akaniambia "tulia Tanga wanaume wananawishwa hivi"
Baada ya kula nikanawishwa kwa mtindo ule ule. Hapa imani ikanishinda, nikamwambia unanitia majaribuni ujue.
Binti akajibu "usijali nitakutoa majaribuni" huku akipeleka vyombo jikoni.
Tuliporudi kukaa binti Akaniuliza "tunaendelea kufundisha au tukatoane majaribuni. Sikuwa na namna, nikauza mechi kwa binti wa kitanga.
Wamalizie kile kisa chetuSawa baba
Alikutoa kweli majaribunia aiseeNiliwahi kujishikiza katika ofisi moja ya Mtanzania mwenzetu, baadaye nikapata kazi ya uhakika hivyo ila ikabidi nitoe taarifa za kuacha kazi.
Baada ya mazungumzo na mwenye ofisi akaomba nitumie walau wiki mbili kumwelekeza na kumkabidhi kazi mwajiriwa mpya ambaye alikuwa binti.
Zoezi la kuelekezana kazi na kukabidhiana likaanza.
Ijumaa ya wiki ya kwanza binti akashauri kwamba kama nina muda basi tukutane weekend ili tuelekezane vizuri.
Sikuwa na kipingamizi, binti anapendekeza aje kwangu ila nikakataa maana mazingira niliyokuwa naishi huko uswahili ikifika weekend ni muziki tu.. Hivyo tukakubaliana mimi niende kwake.
Jumamosi mapema nikafika alipopanga huyu binti baada ya kuscan mazingira, nikauliza shemeji yupo wapi? Binti akacheka kisha akajibu "hamna shemeji hapa, wanaume wenyewe wa siku hizi majanga tu.
Tukaelekezana pale mpaka muda wa kula, binti akaandaa msosi nami nikakaribishwa mezani. Balaa likaanza kwenye kuninawisha, binti akaninawisha kama mtoto, yaani anakumiminia maji huku mkono mmoja anakuosha viganja vya mikono, nimepigwa na butwaa binti akaniambia "tulia Tanga wanaume wananawishwa hivi"
Baada ya kula nikanawishwa kwa mtindo ule ule. Hapa imani ikanishinda, nikamwambia unanitia majaribuni ujue.
Binti akajibu "usijali nitakutoa majaribuni" huku akipeleka vyombo jikoni.
Tuliporudi kukaa binti Akaniuliza "tunaendelea kufundisha au tukatoane majaribuni. Sikuwa na namna, nikauza mechi kwa binti wa kitanga.
Mambo vipi lakini?Sawa kaka
Mabinti wa huko ni balaa ndugu yangu.Alikutoa kweli majaribunia aisee
Watoto wa lindi na mtwara ukikutana nao ujipange la sivyo utaacha dharau kubwa sana
Hawanaga dogo kwenye kutomban* mpak uombe pooo!
Na ukiwa ndio mnywa milinda nyeusi utakoma
Watoto wa kule bila kula kinyagi bapa moja na kitmoto kilo hawezi muambia kituMabinti wa huko ni balaa ndugu yangu.
Niliwahi pita Masasi ni hatari sana.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sijui wana nini wale mabinti.Watoto wa kule bila kula kinyagi bapa moja na kitmoto kilo hawezi muambia kitu
Hapo usisahau kubeba maji ya 10L coz muda wowote unaweza kata moto
Yani ile moment huwa naikumbuka sanaHii ndiyo real masihara aisee.
Hizi xo ndo zinathibitisha kiwango chako cha ufalaDaaah wakuu Jana nimeharibu jukwaa .........picha linaanza sijatokea class Mara nakuta namba ya manzi flani hiv .....ananiuliza why sijaingia class
....sababu hua nna seat zangu hua nakaa kila siku ....but Jana nilishift position xo nikamjibu kuwa naumw kumbe nipo namzoom class
After session nliondk kwenda geto ,mara paap anatuma text .....nmuelekeze mgeton aje anicheki ...ugonjwa [emoji1][emoji1][emoji1]
Xo nlimuelekeza kumbe yupo serious Kuja geto mtoto ananifuata ad ndan ....tumepiga story Mara mtoto anaaga kuondoka ....sema nlikosa vitendea kaz so nlimwacha aondoke ....ila nikifkiria situation hii najiona mmi ni FALA wa kiwango cha SGR
....daaah ...kwel mkuu ..sema sikuwa na kingaHizi xo ndo zinathibitisha kiwango chako cha ufala