Namkumbuka sana Dada mmoja wakikenya,alikuwa anakazi nzuri tu hapa DSM ,daaa nikawa nabutua,hakukuwa na stress kilakitu yupo vizuri japo namimi nilikuwa namsuprise na vi gift na out lakini alinipenda kwa dhati na alinisapoti sana,kumbe alikuwa na jamaa yake aliye zaa nae yupo America ,jamaa si akanitoroshea mrembo wangu,sasa yupo USA kimaisha na kikazi na amefunga ndoa mwaka juzi na jamaa yake.Sikutaka kuchepuka tena namimi nikamuoa mchumba wangu wa siku nyingi.Najua ni michepuko michache sana walio kama huyu hata kunawakati nakaa namkumbuka nayeye huwahivyohivyo tatizo USA