Ulishawahi kujutia mchepuko?

Ulishawahi kujutia mchepuko?

nyie jaman acheni tu kuna michepuko inapiga mizinga tena sio mizinga ya kitoto, inapiga mizinga mikubwa mikubwa alafu tena ya karibu karibu. tena macho makavuuuu. mie michepuko basi tu mungu anisamehe natulia na huyu huyu niliyenaye
 
Mi kuna mmoja alidai anataka nimpe mimba watoto atalea mwenyewe hatanisumbua kwa matumiz ya watoto, GHAFLA wiki iliyofuata anapiga mzinga wa 100,000 TSH (sijui alijisahau ama vepe). Yaani huyu huyu aliejidai kuwa amejitosheleza hatimaye kaanza mizingo kabla hata ya tendo lenyewe, aisee ikabidi nirudi kwa mama watoto kimyaaa
 
Hivi kuna mchepuko ambao hautaki pesa Dar hii?
Ni wachache sana hawataki, usawa wa uchumi huu wa sasa, hawapati pesa kama zamani, nidhamu ya matumizi ya pesa yanaanza kupanda kidogo kidogo
 
Nakumbuka bana kipind nipo chuo dar nikapataga kimchepuko kipindicho Mr yupo Arusha sasa bana yule mchepuko akawa habanduki na mimi asbh kanipitia kwenda chuo jion kanichukua kurud nyumban atahakikisha anaondoka saa tano za usiku ikiwa weekend ndio kabisa naunganisha home kwake mpka j2 mda wa kuongea na Mr hata sina siku iyo tunagombana ananambia nichague nimuache Mr au na yeye awe na mchepuko heee katikati ya bonge la ugomvi Mr si akawa anapiga simu akaipora akapokea saa iyo inaenda saa tano za usiku me presha nakwambia nikajidai kuzimia maana nilihisi kufa hahaha nikikumbuka nacheka sana aisee

Basi Mr anasikia simu kapokea mwanaume ikabidi amuulize wewe nani unapokea simu ya mke wangu akajiadai eti mke wako kazimia njian alikuwa anatokea chuo me msamaria nampa msaada hapa nimemleta dispensary mimi huku ndio kamoyo kakapoa ila nikajidai nimezimiaa mwanzo mwisho mpka kampigia rafiki yangu kuja ndio nikajidai naendelea vizur yeye akaenda akatuacha

Uzur Mr wangu hakuelewa chezo maana pia ilikuwa kipind cha karibu na mitihan so nakuwa chuo mpka saa nne kudiscuss akanipa tu pole weekend yake akaja kuniona loo toka siku iyoo stakii habar ya michepuko pilipili khaaa kaka alitaka kunitoa uhai yule
Malaya kwenye ubora wenu 🤣
 
Ex girlfriend ameolewa na mjeda, alilazimisha kuja kwangu na kwa vile anajua ratiba zangu zote siku hiyo nilishtukia tu katimba ofisini kwangu mida ya karibu na kutoka, amesafiri safari ndefu tu. Aliaga anaenda kwa ndugu zake

Siku aliporudi kwake, ilikuwa ni usiku na mmewe alikuwa shift ya usiku kwaiyo alinipigia simu kunijulisha na akalala. Asubui alipoamka akawa anaongea kwenye simu na ndugu zake kukazia kuwa wakipigiwa wajibu vizuri maana kuna ndugu zake walikuwa wanajua ushetani ule

Kumbe wakati anaongea na simu jamaa alikuwa mlangoni anasikiliza yote... aliingia na mlango na kilichofata ilikuwa balaa
Ulipakatwa?
 
Back
Top Bottom