Ulishawahi kujutia mchepuko?

Ulishawahi kujutia mchepuko?

Kwann mnahangaika na vmichepuko dizaini hiyo jamani, mpango mzima uwe na mke wa mtu......wala hautakuwa na wasiwasi wa hiyo mizinga ya laki laki sana sana we unaweza kuwa unamlipua cku moja moja
nimepata kamchep ka geti kali, wala sina wasi, haka bom kitu maana akikutwa na kitu tofauti na alichonunuliwa na dady ataulizwa, nilitaka kumnunualiwa simu ya ukweli akaniuliza unataka nikaitumie wapi sasa, yeye ofa yake ni luch ya ukweli basi na tu vocha vya hapa na pale, ikifika jioni sina wasiwasi kwa maana najua sahizi yuko wapi. nikimtaka ni mchana tu.
 
Angalau we umebahatisha
 
Mwanafunzi huyo shauri yako atakupeleka jela
 
Katika harakati hizi za mahusiano huenda ulishawahi kuchepuka, Jje ulishawahi kujutia uamuzi huo? Tupeane uzoefu. Binafsi nilikutana na kicheche/kichefuchefu kinaomba hela 24 /7 yaani bajet yake inazidi ya kwa wife X 10 Daah hapo nikaona nitafirisika aisee.

Tatizo la wanaume wengi ni kuwa hawajitambui.....wewe inakuwaje mapaka unamwachia mchepuko akutawale kihivyo? Mchepuko hana mapenzi na wewe, yeye yupo kibiashara tu na haoni huruma kukuvunjia nyumba yako. Ukishampa hela mara ya kwanza na akazidi kukuomba, wewe mgeuzie kibao kwa kumuomba yeye mara kwa mara na umlilie akutoe out, akikuon mzigo ataksusa tu na roho yako itapona. Mchepuko ni kama mademu wa kichagga tu, ni kuchapa na kuwaacha kwenye giza na wala kusiwe na taa karibu yake kwani akipata mwanga atakutafuta ili akutie tena hasara.
 
Mwanafunzi huyo shauri yako atakupeleka jela
Kaka sio mwanafunzi huyu, huyu ni mwanachuo, hawezi kunipeleka jela, mbona wenzie wako huko dodoma wanatafunwa tu na bunge la sisiemu lime wasusa? kaka kama hauko mbali na Dom we pitia tu hapo unachinja mpaka unaomba poo.
 
Kuna michepuko mingine ukitaka mambo wanadai uwape hela,cha ajabu hawatoi risiti sijui kwa nini
 
Nakumbuka bana kipind nipo chuo dar nikapataga kimchepuko kipindicho Mr yupo Arusha sasa bana yule mchepuko akawa habanduki na mimi asbh kanipitia kwenda chuo jion kanichukua kurud nyumban atahakikisha anaondoka saa tano za usiku ikiwa weekend ndio kabisa naunganisha home kwake mpka j2 mda wa kuongea na Mr hata sina siku iyo tunagombana ananambia nichague nimuache Mr au na yeye awe na mchepuko heee katikati ya bonge la ugomvi Mr si akawa anapiga simu akaipora akapokea saa iyo inaenda saa tano za usiku me presha nakwambia nikajidai kuzimia maana nilihisi kufa hahaha nikikumbuka nacheka sana aisee

Basi Mr anasikia simu kapokea mwanaume ikabidi amuulize wewe nani unapokea simu ya mke wangu akajiadai eti mke wako kazimia njian alikuwa anatokea chuo me msamaria nampa msaada hapa nimemleta dispensary mimi huku ndio kamoyo kakapoa ila nikajidai nimezimiaa mwanzo mwisho mpka kampigia rafiki yangu kuja ndio nikajidai naendelea vizur yeye akaenda akatuacha

Uzur Mr wangu hakuelewa chezo maana pia ilikuwa kipind cha karibu na mitihan so nakuwa chuo mpka saa nne kudiscuss akanipa tu pole weekend yake akaja kuniona loo toka siku iyoo stakii habar ya michepuko pilipili khaaa kaka alitaka kunitoa uhai yule
 
Ha haaa wewe noma,kuzimia ikawa pona yako
 
Ex girlfriend ameolewa na mjeda, alilazimisha kuja kwangu na kwa vile anajua ratiba zangu zote siku hiyo nilishtukia tu katimba ofisini kwangu mida ya karibu na kutoka, amesafiri safari ndefu tu. Aliaga anaenda kwa ndugu zake

Siku aliporudi kwake, ilikuwa ni usiku na mmewe alikuwa shift ya usiku kwaiyo alinipigia simu kunijulisha na akalala. Asubui alipoamka akawa anaongea kwenye simu na ndugu zake kukazia kuwa wakipigiwa wajibu vizuri maana kuna ndugu zake walikuwa wanajua ushetani ule

Kumbe wakati anaongea na simu jamaa alikuwa mlangoni anasikiliza yote... aliingia na mlango na kilichofata ilikuwa balaa
 
Nakumbuka bana kipind nipo chuo dar nikapataga kimchepuko kipindicho Mr yupo Arusha sasa bana yule mchepuko akawa habanduki na mimi asbh kanipitia kwenda chuo jion kanichukua kurud nyumban atahakikisha anaondoka saa tano za usiku ikiwa weekend ndio kabisa naunganisha home kwake mpka j2 mda wa kuongea na Mr hata sina siku iyo tunagombana ananambia nichague nimuache Mr au na yeye awe na mchepuko heee katikati ya bonge la ugomvi Mr si akawa anapiga simu akaipora akapokea saa iyo inaenda saa tano za usiku me presha nakwambia nikajidai kuzimia maana nilihisi kufa hahaha nikikumbuka nacheka sana aisee

Basi Mr anasikia simu kapokea mwanaume ikabidi amuulize wewe nani unapokea simu ya mke wangu akajiadai eti mke wako kazimia njian alikuwa anatokea chuo me msamaria nampa msaada hapa nimemleta dispensary mimi huku ndio kamoyo kakapoa ila nikajidai nimezimiaa mwanzo mwisho mpka kampigia rafiki yangu kuja ndio nikajidai naendelea vizur yeye akaenda akatuacha

Uzur Mr wangu hakuelewa chezo maana pia ilikuwa kipind cha karibu na mitihan so nakuwa chuo mpka saa nne kudiscuss akanipa tu pole weekend yake akaja kuniona loo toka siku iyoo stakii habar ya michepuko pilipili khaaa kaka alitaka kunitoa uhai yule
Oooo kumbe ulinifanyia hivi?naikumbuka vizuri hii siku ukanifanya niwe na wasiwasi nifunge safari kurudi DSM kuku angalia kumbe ulaghai?(nimechukulia kama Mr wako anaingia humu na kukutana na hii comment yako)
 
Katika harakati hizi za mahusiano huenda ulishawahi kuchepuka, Jje ulishawahi kujutia uamuzi huo? Tupeane uzoefu. Binafsi nilikutana na kicheche/kichefuchefu kinaomba hela 24 /7 yaani bajet yake inazidi ya kwa wife X 10 Daah hapo nikaona nitafirisika aisee.
Sa ulitaka akuombe nn?! Unachokitaka kwake unapata na anachokitaka kwako anatakiwa apate.
 
Sasa mkamalizanaje na huo mchepuu?
Mchepuko nikamwambia simtaki tena jaman alibadilika kuwa mbogo ananitishia kumwambia ukweli Mr mara anambie atamfanya Mr kitu kibaya akiwa huko2 mara aje usiku wa manane nyumbani alie hapoo kuomba yaishe akichoka anaondoka, ila alikuja akasahau mara ya mwisho nilisikia ameoa nikatumiwa na picha basi hatuna hata mawasiliano na wala sijui anaishi wap
 
nimepata kamchep ka geti kali, wala sina wasi, haka bom kitu maana akikutwa na kitu tofauti na alichonunuliwa na dady ataulizwa, nilitaka kumnunualiwa simu ya ukweli akaniuliza unataka nikaitumie wapi sasa, yeye ofa yake ni luch ya ukweli basi na tu vocha vya hapa na pale, ikifika jioni sina wasiwasi kwa maana najua sahizi yuko wapi. nikimtaka ni mchana tu.

hahahahaa, hao wa geti kali ni nouma unaweza kuta binam anatafuna usiku au shamba boy kma yupo anajilia vitu usiku.....
 
Back
Top Bottom