kijana wa leo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2011
- 3,069
- 7,508
Walioolewa wakipita kwenye uzi huu leo wanaenda kuvunja ndoa zao, mliocoment wote waume za watu na asilimia 100 mnaonesha mmewahi kuchepuka au mnaendelea kuchepuka, dah wanawake wana kazi sana na waume wao.