Ulishawahi kujutia mchepuko?

Ulishawahi kujutia mchepuko?

Ha ha ha nyie hamfui dafu kwangu, nlipata kitoto kidogo kama cha 17yrs hivi kikali balaa nikakitia mara moja bila ndomu asubuhi ananipigia simu ana mimba na hataki kutolea sehemu yoyote zaidi ya aghakhan na ni sh. 1m tena kwa kompyuta

Kwi kwi kwiiii..hata kama ni kupiga hela si kwa dizaini hii ptyuuuu!!!???
 
Shost mke wa mtu, mume alikwenda masomoni basi aliamua kuregister kiserengeti boy. Shost mambo poa, basi zikawa zile weekend Bagamoyo, Pangani, mara Z,bar. Kwakuwa hakuweza kumleta nyumbani. Kimbembe serengeti life style ilimkolea basi miezi kama mitatu kabla mume hajarudi ikabidi akate stimu.

Kiserengeti kilikuja juu, unasema nini? mume wako anarudi kwani mimi sio mwanaume? Shost pichu ilikuwa ndogo ghafla.
 
Ha ha ha nyie hamfui dafu kwangu, nlipata kitoto kidogo kama cha 17yrs hivi kikali balaa nikakitia mara moja bila ndomu asubuhi ananipigia simu ana mimba na hataki kutolea sehemu yoyote zaidi ya aghakhan na ni sh. 1m tena kwa kompyuta
Siku nzima sijacheka. Asante mkuu!!
 
Michepuko mingine zinaheshimu njia kuu wala hazitaki kuingilia ovyo, wapo wa aina hii na ni wachache sana!!!
 
Mchepuko ambao sitasahau !siku moja nilichepuka lakini kili nisumbua sana kukipata nikipo mpata katika mishe zile za kuvua ili niaze kuingiza nilishutushwa na kitu kamba uume lakini ulikuwa mfupi kama unaaza kuota juu ya mbunye yake! Kilikuwa ni kitu cha ajabu sana na aliniomba nisimwambie mtu........ukichepuka utakutana na nyingi zenye maumbile ya ajabu
hahahahah itakuwa ni kawaida tu mkuu.
mbona ulishtuka sana? wengine clitoris zinakuwaga kubwa acha na wewe kuogopa sana.

Ila mchepuko sio dili
 
Kwann mnahangaika na vmichepuko dizaini hiyo jamani, mpango mzima uwe na mke wa mtu......wala hautakuwa na wasiwasi wa hiyo mizinga ya laki laki sana sana we unaweza kuwa unamlipua cku moja moja
You are Speaking from experience.... Galadudu
 
Shost mke wa mtu, mume alikwenda masomoni basi aliamua kuregister kiserengeti boy. Shost mambo poa, basi zikawa zile weekend Bagamoyo, Pangani, mara Z,bar. Kwakuwa hakuweza kumleta nyumbani. Kimbembe serengeti life style ilimkolea basi miezi kama mitatu kabla mume hajarudi ikabidi akate stimu.

Kiserengeti kilikuja juu, unasema nini? mume wako anarudi kwani mimi sio mwanaume? Shost pichu ilikuwa ndogo ghafla.
Mhmhhh
 
Mimi kuna mmoja uliomba laki tatu nikaupatia, baada ya siku tatu nikapata msiba ikabini nisafiri kwenda msibani huko mkoani. Nikaufahamisha kuwa nimefiwa nasafiri kwenda mkoani. Nikiwa huko mkoani, eti unataka ela ya kusuka elfu 50. Jibu nilompatia hatakaa asahau, pamoja nikamtumia elfu 3 akanyoe nywele.
mkuu ulimpa jibu gani na anaitwa ani
 
Namkumbuka sana Dada mmoja wakikenya,alikuwa anakazi nzuri tu hapa DSM ,daaa nikawa nabutua,hakukuwa na stress kilakitu yupo vizuri japo namimi nilikuwa namsuprise na vi gift na out lakini alinipenda kwa dhati na alinisapoti sana,kumbe alikuwa na jamaa yake aliye zaa nae yupo America ,jamaa si akanitoroshea mrembo wangu,sasa yupo USA kimaisha na kikazi na amefunga ndoa mwaka juzi na jamaa yake.Sikutaka kuchepuka tena namimi nikamuoa mchumba wangu wa siku nyingi.Najua ni michepuko michache sana walio kama huyu hata kunawakati nakaa namkumbuka nayeye huwahivyohivyo tatizo USA
 
Back
Top Bottom