Hiyo kweli ukiwakuta waliowahi mpaka mapengo jamani, kuna dada kaolewa na 39yrs tena kanisani na ana mtoto alimpa alimkimbia sasa,kapata wake unazani huyo atachezea ndoa?