Ulioa ukiwa na miaka Mingapi?

Ulioa ukiwa na miaka Mingapi?

Nashukuru nilikutana na wakwe wastaarabu sana,walituamini na walituacha tujitafute na kupangilia mambo yetu kwanza .
Hivi ugumu hutoka wapi?
Kuna tofauti ya kuishi kinyumba bila ndoa na kuishi mkiwa mmefunga ndoa?
Kama unaweza kutoshelezana mkiwa hamna ndoa unashindwaje kutoshelezana mkiwa mmefunga ndoa? Nini tofauti ya hayo mawili? Samahani mkuu ni suala fikirishi kwangu.
 
Back
Top Bottom