Na aie tumekuwa vigeu geu kama nyie š¤£š¤£š¤£š¤£Nyie nanyi hamueleweki. Mnasema siku hizi hamuoi sababu tunajirahisisha kuhamia majumbani mwenu kabla ya ndoa lakini huku mnataka kuhalalisha kitu ambacho mmekuwa mnakipinga wenyewe. Tuwaeleweje???