Ulioa ukiwa na miaka Mingapi?

Ulioa ukiwa na miaka Mingapi?

Nilikuwa nimepanga kuoa nikiwa na 40 yrs ila kuna mjanja akanikamata mapema kwenye 30 yrs,ila kanikosesha bata zangu nilizokuwa nimezipangilia ila nina imani kufikia 40 yrs lazima nile bata za kutosha

Ndoto yangu kwa hapa duniani ilikuwa ni kuishi kama wanyama wa porini
 
Ongera sana ni mipango ya Mungu
 
Nilikuwa nimepanga kuoa nikiwa na 40 yrs ila kuna mjanja akanikamata mapema kwenye 30 yrs,ila kanikosesha bata zangu nilizokuwa nimezipangilia ila nina imani kufikia 40 yrs lazima nile bata za kutosha

Ndoto yangu kwa hapa duniani ilikuwa ni kuishi kama wanyama wa porini
😂😂😂💥
 
Same here ..maisha yalobakia na mimi nimeopt nile bata tu na wanangu..najipanga kwa hili
 
Back
Top Bottom