Ulimiliki geto lako la kwanza ukiwa na miaka mingapi?

Ulimiliki geto lako la kwanza ukiwa na miaka mingapi?

Ramtz Jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2026
Posts
268
Reaction score
526
Kichwa kinajieleza ulimiliki geto lako ukiwa na miaka mingapi?
binafsi nimemiliki geto langu nikiwa namiaka 12 tu mpaka sasa nina nyumba yangu vp wewe ulimiliki geto ukiwa na miaka mingapi

Hata ukiwa mwanamke funguka mana huku kwetu hata wasichana wana vijumba vyao wanavyoishi kabla hawajaolewa

NAWASILISHA..,
 
Back
Top Bottom