coolboyjden
JF-Expert Member
- Apr 10, 2021
- 286
- 393
muda mwngine wanatafuta drama ili apate headlines katika habari na source moja wapo yakutambulika zaidi
kama hiyo ya mange hahaha inawezekana was plan drama kabisa ili mama apate headlines kweny social media kwan huyu mtu alikuwa anaisema sana serekali ya awamu ya tano huku samia akiwa makamu kwahy ni adui wa hii nchi kwani alikuwa anatoa hadi siri za ndani sn kwahiyo kama angekua anatumiwa na mabeberu ku source data za siri kweny taifa hili ni usaliti kwa taifa lako
kwahy ni plan drama ndio maana hawaja mzuia.
tunaweza kua tunao pumbazwa ni ss wananchi tuna mjadili tu kweny social media tu kumbe wenyw wanajua kila kitu tufanyeni kazi tuachane na kuigiza kwan taifa bado sn hili kufikia hko wenzetu walipo no shortcut tukubali kuumia kwa mazuri ya baade na sio faida ya watu fulani tu