Jokate: Rais Samia anajiamini ndiyo maana ameruhusu Wapinzani waandamane

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,836
"Tofauti na kipindi kilichopita, awamu hii ya Rais Samia tumeona watu wanaruhusiwa wanaandamana barabarani, mama ameruhusu na anawapa na ulinzi kwa sababu mama anajiamini, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mama anayejiamini ndio maana 'chokochoko', maneno havimsumbui, lakini imani yake inakuja kwa sababu anajuwa wanawake wenzake tunamuunga mkono, lakini sio tu wanawake, hata wanaume nao wanamuunga mkono Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan" -Jokate

"Kwa hiyo tunaomba sana wanawake wote wa Tanzania tuendelee kumuunga mkono Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan, viongozi wa CCM, viongozi wa UWT tuendelee kusemea kazi njema ambayo Mheshimiwa Rais anaifanya kwa ajili ya wananchi wa Tanzania, na huko kwenye maeneo yetu kazi hizo zinaonekana, kwa hiyo tuzisemee na tusichoke kuendelea kuwaelimisha.

IMG_20240307_201943.jpg
 
"Tofauti na kipindi kilichopita, awamu hii ya Rais Samia tumeona watu wanaruhusiwa wanaandamana barabarani, mama ameruhusu na anawapa na ulinzi kwa sababu mama anajiamini, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mama anayejiamini ndio maana 'chokochoko', maneno havimsumbui, lakini imani yake inakuja kwa sababu anajuwa wanawake wenzake tunamuunga mkono, lakini sio tu wanawake, hata wanaume nao wanamuunga mkono Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan" -Jokate

"Kwa hiyo tunaomba sana wanawake wote wa Tanzania tuendelee kumuunga mkono Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan, viongozi wa CCM, viongozi wa UWT tuendelee kusemea kazi njema ambayo Mheshimiwa Rais anaifanya kwa ajili ya wananchi wa Tanzania, na huko kwenye maeneo yetu kazi hizo zinaonekana, kwa hiyo tuzisemee na tusichoke kuendelea kuwaelimishaView attachment 2927400
UNAFIQ TU HAMNA LOLOTE HAPO
 
Ila mbongo mnafki nyie hata itokee anko afufuke leo utashangaa wanaanza " Anko ulikua utani tu ule, anko wewe ni mwamba achana na mama kizimkazi blah blah blah, UKIACHANA NA HAYO TUJIFUNZE WATU WENGI WALIOTUZUNGUKA NI WANAFKI NA WAPO KWA SABABU YAO NA MATUMBO YAO TU.
 
Back
Top Bottom